Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
🙏Ni kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏Ni kweli
Ila umechapia hapo kwa Mwalimu kuasisi vazi lisilokuwa na kola. Hayo yalitokea China kwa akina Mao Tse Tung na Chou En Lai kama tulivyokuwa tunawaelewa. Asante.Ni siku chache tu zimepita tangu Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na umri wa miaka 97.
Ameondoka duniani na kuacha vitu vingi vya kukumbukwa, lakini leo acha nikupe hili la mavazi, amefariki akiacha jina maarufu la kaunda suti, ambazo kwa sasa vijana, watoto na wazee wanavaa na kupendeza.
Miaka ya 1920 wabunifu wawili kutoka nchini Ufaransa ted lapidus na yves st laurent walibuni safari suits ambazo lengo ilikuwa ni kusafiria kutoka nchi za ulaya kwenda nchi za Afrika.
Safari Suits zilikuwa hazina nafasi ya kuweka tai na zilikuwa zinatengenezwa kwa pamba nyepesi zinazohimili hali ya hewa ya joto na zilikuwa na mifuko mingi ili kumuwezesha msafiri kuweka vyakula pamoja na chupa za maji ya kunywa.
Safari Suits pia zilitumiwa na jeshi la british na kuwekwa nyota katika zile kola pana.
Aidha mnamo miaka ya 1960 ulizuka ushindani mkubwa wa mavazi kwa mataifa ya Afrika ambapo marais walikuwa wanapambana kuonyesha ubunifu wa vazi la taifa.
Hayati baba wa taifa, Mwl Julius Nyerere aliasisi vazi lake lisilokuwa na kola(rejea mavazi anayovaa mzee malecela), kwame nkurumah wa ghana aliasisi vazi la blanketi ambalo alikuwa anajifunika kama mgolole hivi.
Kaunda wa zambia akajikita katika vazi la safari suit ambalo likampa umaarufu afrika nzima na hadi leo bado tumebaki na jina hilo la kaunda suti.
Jina kaunda suit limeua jina la safari suit, kwa sasa zipo aina nyingi za kaunda suti ambazo zinashonwa kwa ustadi wa hali ya juu, pumzika kwa amani Mzee Kaunda.
©Dar24
Kweli kabisa! Umenikumbusha mbali. Ile ya Nyerere iliitwa Chou Enlai baada ya yule waziri kutoka China kuja na hill vazi na likadakwa na Nyerere.Ni siku chache tu zimepita tangu Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na umri wa miaka 97.
Ameondoka duniani na kuacha vitu vingi vya kukumbukwa, lakini leo acha nikupe hili la mavazi, amefariki akiacha jina maarufu la kaunda suti, ambazo kwa sasa vijana, watoto na wazee wanavaa na kupendeza.
Miaka ya 1920 wabunifu wawili kutoka nchini Ufaransa ted lapidus na yves st laurent walibuni safari suits ambazo lengo ilikuwa ni kusafiria kutoka nchi za ulaya kwenda nchi za Afrika.
Safari Suits zilikuwa hazina nafasi ya kuweka tai na zilikuwa zinatengenezwa kwa pamba nyepesi zinazohimili hali ya hewa ya joto na zilikuwa na mifuko mingi ili kumuwezesha msafiri kuweka vyakula pamoja na chupa za maji ya kunywa.
Safari Suits pia zilitumiwa na jeshi la british na kuwekwa nyota katika zile kola pana.
Aidha mnamo miaka ya 1960 ulizuka ushindani mkubwa wa mavazi kwa mataifa ya Afrika ambapo marais walikuwa wanapambana kuonyesha ubunifu wa vazi la taifa.
Hayati baba wa taifa, Mwl Julius Nyerere aliasisi vazi lake lisilokuwa na kola(rejea mavazi anayovaa mzee malecela), kwame nkurumah wa ghana aliasisi vazi la blanketi ambalo alikuwa anajifunika kama mgolole hivi.
Kaunda wa zambia akajikita katika vazi la safari suit ambalo likampa umaarufu afrika nzima na hadi leo bado tumebaki na jina hilo la kaunda suti.
Jina kaunda suit limeua jina la safari suit, kwa sasa zipo aina nyingi za kaunda suti ambazo zinashonwa kwa ustadi wa hali ya juu, pumzika kwa amani Mzee Kaunda.
©Dar24
😅😅😅Hayo maswali mleta uzi hawezi kukujibu, kacopy mahali huko kaja kupaste humu!
Msalimie swaiba wako CHIRUBA.
Lile vazi lisilo na colar si aliiga kwa Mao wa China!!! au nakosea?
Yeah upo sawa,Marehemu Mao alilivaa na wacomunist wengine lilikuwa vazi lao,bila kumsahau marehemu Ngombale Mwiru.
Ni kweli
Umenikumbusha mbali sana zile suti ziliitwa Chun Lai ila kimsingi ni kushindwa kutamka jina la ZHOU ENLAIMumo mumo. Chun lai ya china
Asante MkuuUmenikumbusha mbali sana zile suti ziliitwa Chun Lai ila kimsingi ni kushindwa kutamka jina la ZHOU ENLAI
Sio Mao kama wengi walivyosema huyo mwamba ndo alikua Premier wa kwanza enzi zile. Dah kweli tumezeeka
Vazi lisilo na kola hakuasisi nyerere bali alikopi kwa wacommunist wa chinaNi siku chache tu zimepita tangu Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na umri wa miaka 97.
Ameondoka duniani na kuacha vitu vingi vya kukumbukwa, lakini leo acha nikupe hili la mavazi, amefariki akiacha jina maarufu la kaunda suti, ambazo kwa sasa vijana, watoto na wazee wanavaa na kupendeza.
Miaka ya 1920 wabunifu wawili kutoka nchini Ufaransa ted lapidus na yves st laurent walibuni safari suits ambazo lengo ilikuwa ni kusafiria kutoka nchi za ulaya kwenda nchi za Afrika.
Safari Suits zilikuwa hazina nafasi ya kuweka tai na zilikuwa zinatengenezwa kwa pamba nyepesi zinazohimili hali ya hewa ya joto na zilikuwa na mifuko mingi ili kumuwezesha msafiri kuweka vyakula pamoja na chupa za maji ya kunywa.
Safari Suits pia zilitumiwa na jeshi la british na kuwekwa nyota katika zile kola pana.
Aidha mnamo miaka ya 1960 ulizuka ushindani mkubwa wa mavazi kwa mataifa ya Afrika ambapo marais walikuwa wanapambana kuonyesha ubunifu wa vazi la taifa.
Hayati baba wa taifa, Mwl Julius Nyerere aliasisi vazi lake lisilokuwa na kola(rejea mavazi anayovaa mzee malecela), kwame nkurumah wa ghana aliasisi vazi la blanketi ambalo alikuwa anajifunika kama mgolole hivi.
Kaunda wa zambia akajikita katika vazi la safari suit ambalo likampa umaarufu afrika nzima na hadi leo bado tumebaki na jina hilo la kaunda suti.
Jina kaunda suit limeua jina la safari suit, kwa sasa zipo aina nyingi za kaunda suti ambazo zinashonwa kwa ustadi wa hali ya juu, pumzika kwa amani Mzee Kaunda.
©Dar24
Mnavosema lisilo na kola mnamaanisha nnLile vazi lisilo na colar si aliiga kwa Mao wa China!!! au nakosea?