Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Tulia basi! Sisi mashabiki wa simba tunaumia sana moyoni! Haiwezekani mpaka leo hatujui ziliko jezi za msimu huu!Basi mi Yangaa mnafurahishwaa na huyu shabiki mmoja kati ya mamilioni wa Simba
Haiwezekani keshokutwa nane nane tutokelezee na jezi za sportpesa, huku mdhamini wa sasa wa timu yetu akiwa ni Mbet!
Hii ni hujuma ya waziwazi! Ndiyo maana tunaungana na shabiki mwenzetu kudai jezi mpya, lakini pia kuondoa ujanja ujanja kwa viongozi wetu.