Hiki ndicho kilicho nyuma ya Kauli Mbiu mpya ya Simba SC isemayo We are Unstoppable

Basi mi Yangaa mnafurahishwaa na huyu shabiki mmoja kati ya mamilioni wa Simba
Tulia basi! Sisi mashabiki wa simba tunaumia sana moyoni! Haiwezekani mpaka leo hatujui ziliko jezi za msimu huu!

Haiwezekani keshokutwa nane nane tutokelezee na jezi za sportpesa, huku mdhamini wa sasa wa timu yetu akiwa ni Mbet!

Hii ni hujuma ya waziwazi! Ndiyo maana tunaungana na shabiki mwenzetu kudai jezi mpya, lakini pia kuondoa ujanja ujanja kwa viongozi wetu.
 
Do you really expect that 'Cockroache' to understand you Chief?
 
Uongo na umbea unakusaidia nini mtoto wa kiume? Wacha noma zako za kishamba
 
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…