Hiki ndicho kilichojiri mahakamani baada ya godbless lema kupandishwa kizimbani....!!

Hiki ndicho kilichojiri mahakamani baada ya godbless lema kupandishwa kizimbani....!!

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
[h=3][/h]

[h=2]Wednesday, July 10, 2013 | 8:22 PM[/h]

1.png


Mbunge wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema leo amefikishwa katika mahakama kuu kanda ya Arusha kwa kosa linalomkabili la kutoa maneno ya uchochezi kwa mkuu wa mkoa Arusha..


Tukio lililo tokea mnamo tarehe 24 mwezi wa Aprili katika chuo cha uhasibu Njiro ambapo wanafunzi hao walikuwa wamekusanyika katika eneo hilo wakitaka kuonana mkuu wa mkoa pamoja na RPC ili kuzungumzia usalama chuoni hapo.

Akisomewa shitaka hilo mahakamani hapo ,wakili wa serikali Bi. Elianeny Njiro amesema mstakiwa Lema alifika chuoni hapo siku ya tukio na kuongea maneno kwa kutumia lugha ya uchochezi kwamba ‘amekuja kama anakwenda kwenye sendoff


Kauli hiyo ilichochea vurugu kwa wanafunzi kwa kupelekea wanafunzi hao kurusha mawe, chupa, wakati huo mkuu wa mkoa alipokuwa akitoa hotuba ,hali hiyo ilipelekea uvunjifu wa amani.


Aidha tukio hilo linatokana na mauaji ya mwanafunazi Henry Koga aliyefariki 23/4 kwa kuchomwa kisu na watu wasiofahamika na liliripotiwa polisi ambapo polisi waliweza kufika eneo la tukio na kufanya upelelezi ambapo upelezi huo uliendelea na mshtakiwa kufikishwa mahakamani .


Katika maelezo hayo wakili wa mshtakiwa bwana Method Kimomogoro alisema maelezo yanayokubalika na kwamba mshtakiwa tarehe 24/4/2013 alikuwepo chuoni hapo lakini maneno yaliyosalia kwamba alitoa maneno ya uchochezi sio ya kweli.

Hakimu aliyeendesha kesi Bi Devota Msofe alisema shauri la kesi hiyo litatajwa kwa siku tatu mfululizo ambazo ni tarehe 20,21,22 mwezi wa nane huku kukiwa na mashahidi kwa upande wa serikali ambao ni SSP Gilles Muloto wa polisi arusha, Inspecta Jane mkaguzi wa polisi arusha ,inspeta Benard nyambanya,PC Godfrey johachimu Wiliamu mahanyi wa polisi, Faraji kasidi wa chuo cha uhasibu njiro ,John Joseph wa chuo cha uhasibu njiro,Benjamini simkanga wa chuo, na naibu hamidu..


Hata hivyo mahakama iliridhia na shauri lililotajwa pamoja na mashahidi na dhamana kwa mshtakiwa inaendelea.



Read more: HIKI NDICHO KILICHOJIRI MAHAKAMANI BAADA YA GODBLESS LEMA KUPANDISHWA KIZIMBANI....!! - GUMZO LA JIJI
 
hilo ni gaidi msaidizi wa mbowe
[h=3][/h][FONT=Georgia
Serif]
[/FONT]

[h=2]Wednesday, July 10, 2013 | 8:22 PM[/h][FONT=Georgia
Serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia
Serif]
1.png


Mbunge
wa Arusha mjini Mh.Godbless Lema leo amefikishwa katika mahakama kuu
kanda ya Arusha kwa kosa linalomkabili la kutoa maneno ya uchochezi kwa
mkuu wa mkoa Arusha..



Tukio lililo tokea mnamo tarehe 24 mwezi wa Aprili katika
chuo cha uhasibu Njiro ambapo wanafunzi hao walikuwa wamekusanyika
katika eneo hilo wakitaka kuonana mkuu wa mkoa pamoja na RPC ili
kuzungumzia usalama chuoni hapo.


Akisomewa shitaka hilo mahakamani hapo ,wakili wa
serikali Bi. Elianeny Njiro amesema mstakiwa Lema alifika chuoni hapo
siku ya tukio na kuongea maneno kwa kutumia lugha ya uchochezi kwamba
‘amekuja kama anakwenda kwenye sendoff



Kauli hiyo ilichochea vurugu kwa wanafunzi kwa kupelekea
wanafunzi hao kurusha mawe, chupa, wakati huo mkuu wa mkoa alipokuwa
akitoa hotuba ,hali hiyo ilipelekea uvunjifu wa amani.



Aidha tukio hilo linatokana na mauaji ya mwanafunazi Henry
Koga aliyefariki 23/4 kwa kuchomwa kisu na watu wasiofahamika na
liliripotiwa polisi ambapo polisi waliweza kufika eneo la tukio na
kufanya upelelezi ambapo upelezi huo uliendelea na mshtakiwa
kufikishwa mahakamani .



Katika maelezo hayo wakili wa mshtakiwa bwana Method
Kimomogoro alisema maelezo yanayokubalika na kwamba mshtakiwa tarehe
24/4/2013 alikuwepo chuoni hapo lakini maneno yaliyosalia kwamba alitoa
maneno ya uchochezi sio ya kweli.


Hakimu aliyeendesha kesi Bi Devota Msofe alisema shauri la
kesi hiyo litatajwa kwa siku tatu mfululizo ambazo ni tarehe 20,21,22
mwezi wa nane huku kukiwa na mashahidi kwa upande wa serikali ambao ni
SSP Gilles Muloto wa polisi arusha, Inspecta Jane mkaguzi wa polisi
arusha ,inspeta Benard nyambanya,PC Godfrey johachimu Wiliamu mahanyi wa
polisi, Faraji kasidi wa chuo cha uhasibu njiro ,John Joseph wa chuo
cha uhasibu njiro,Benjamini simkanga wa chuo, na naibu hamidu..



Hata hivyo mahakama iliridhia na shauri lililotajwa
pamoja na mashahidi na dhamana kwa mshtakiwa inaendelea.

[/FONT]



Read more:
HIKI
NDICHO KILICHOJIRI MAHAKAMANI BAADA YA GODBLESS LEMA KUPANDISHWA
KIZIMBANI....!! - GUMZO LA JIJI
 
bado mnasema mahakama zinazidiwa na kesi mingi?!?! kumbe hizo kesi ni za muundo huu!! hata mjumbe wa nyumba ten hawez sikiliza hii rubbish.
 
Back
Top Bottom