figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Msabaha sijamuonea huruma.
Alikataa kuwapa hela Wanakijiji wa Lyowa na akataka Shule ijengwe Muungano huko Mtwara kwa hela alizoleta Samia Suluhu.
Kwanza aliwapa masharti Wananchi wajenge wenyewe Madara matano ili kuwapima kama wanahitaji kweli shule. Wananchi wakachangishana wakajenga Madaravmatano na kuchimba choo. Lakini pamoja na hayo yote, bado Wananchi wakaambiwa hawapewi hela. Wachangishane hadi wamalize shule. Alivunja ahadi.. Ndo sababu za Wananchi kususa Serikali
Akieleza sababu zilizopelekea uamuzi wa kumtumbua Ukuu wa Wilaya, Rais Samia alisema Mkuu huyo wa Wilaya amekuwa akipokea hongo na kuhamisha Miradi inapotakiwa kwenda na kuipelekea sehemu isiyohitajika, kitendo kilichofanya Wananchi kukerwa na kurudisha Kadi za Chama
Alisema hawezi kustahimili kuona Kadi za Chama zinarudishwa wakati Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wapo na walipoulizwa, Wakuu hao walijibu kuwa eneo hilo lina Wapinzani wengi.
Mkuu wa Wilaya yeye alijitetea eti Wananchi ndo walikubaliana. Kwamba Lyowa ina Wanafunzi wachache kuliko Muungano. Hivyo shule ijengwe Muungano wachache wawafuate wengi.
Sasa kulikuwa na haja gani ya kuwaambia Wananchi wajenge Madarasa ya Mfano ili aone kama kweli wanahitaji shule? Aliwasumbua wakati hana nia ya kuwapa shule
Mwenyekiti wa kijiji cha Lyowa aliye tumbuliwa, alimtahadharisha mapema Mkuu wa Wilaya aende kijijini ili Tatizo liishe mapema kabla halijamfikia rais Samia lakini akaleta jeuli. Matokeo yake kafukuzwa.