Hiki ndicho kinachowaangusha Simba

Hiki ndicho kinachowaangusha Simba

Sio,
Kwanini wachezaji wa kikosi cha Kwanza hawafahamiki na makocha.
Timu gani isiyo na Kikosi cha Kwanza.
Ulishawahi kuona Rinaldo anapumzishwa bila sababu.
Kama haumwi ni lazima apangwe.
Kikosi cha ushindi ni lazima Kocha akifahamu.
Yaani Mtibwa unawawekea
Santos
Shamte
Gadiel
Kama mabeki halafu wakukose.


Sent using Jamii Forums mobile app
Gadiel si mlimchukua Yanga kwa mbwembwe, leo mnamuona garasa? Mkuu mnakikosi kipana so tulieni tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Simba si inasifika kuwa na kikosi kipana, iweje leo waonekane wengine ni hovyo na wengine ndio wazuri?
Hujaelewa, na kwanini unasema achezaji wa hovyo, hakuna wachezaji wa hovyo.
Mi nazungumzia kikosi cha Kwanza.
Hakuna timu ambayo haina kikosi cha Kwanza.
Isipokuwa Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom