Diamond ndo nani jaman?
.
Atajaza diamond
!!!!Hivi ameshamnunulia Wema vifaa ya ofisin na kumpangishia jumba la kifahari
Sorry naomba hapa apajibu evelyn atakua anajua
Nini kupewa jumba la kifahari bana diamond ndo happiness yake
With diamond haitaji hata jumba la kifahari ni malove tu
plattttt beibiiiii
mkwe wa rais...
Wacha wee na kula anakula hayo maloveee??
Wengi wa wamiliki wa simu zenye uwezo wa kutunza nyimbo, lazima ukute ana wimbo fulani ama wowote ule wa msanii wa kizazi kipya, diamond platinumz. mimi mwenyewe nikiwemo wa kwanza.
Sasa nimekuwa najiuliza sana, je hii ni indicator kwamba diamond platinumz anapendwa sana na Watanzania walio wengi kwa kazi nzuri nzuri anazozifanya?
Pia, msanii diamond, recently amekuwa akichaji pesa nyingi sana kama malipo kwa kila shoo anayofanya, na bado watu wamekuwa wakihudhuria kwa wingi mno tofauti na wasanii wengine, je hiki nacho ni kipimo kwamba diamond anapendwa kuliko wasanii wengine Tanzania?
wali:
Je, siku ikitokea kukapangwa show moja kufanyika siku moja, muda mmoja, jiji moja hili hili la DAR ila kumbi tofauti,
Je ni msanii gani ataeongoza kwa kujaza ukumbi na wingi wa mapato kati ya diamond platinumz, Lady Jay dee, Mwana FA, na OMMY DIMPOZ?
Assume kwamba, hii show ni mwanamziki mmoja tu, hakuna kusindikkizana!. nani ataibuka kinara hapa?
Spika bunge la katiba
mnafaa sana kuolewa na mume mmoja!!!![/Q
Haiwekezakaniki !!!!!
Sio lazima kwa sababu siyo sheria, mie mbona sina!!
Yote kwa yote kinachonifurahisha ni kwamba Diamond haimbii NGONO anaimbia MAPENZI. Wanaoimbia ngono ni wale unakuta anaimba sijui mtoto chuchu saa sita, kiuno kimefanyaje sijui na vitu kama hivyo ila, tenzi za Diamond zime-base kwenye mapenzi!! Kwamba kupenda si chuchu, kiuno au ---- kama wafanyavyo wengi, kupenda ni hisia tu.
Diamond ndo nani jaman?
.
Wacha wee na kula anakula hayo maloveee??
.una uhakika humfahamu almasi?
.
Kaka kuna jamaa aliniambia yupo hivi apa
.
.
Sasa kweli binadamu wa kawaida yupo hivi... Kama sio huyu naomba picha yake tafadhari
mnafaa sana kuolewa na mume mmoja!!!![/Q
Haiwekezakaniki !!!!!
inawezekana Dinazarde.. imagine wewe na Heaven on Earth mnaolewa na excel.. itapendeza saana!
Ntaenda kwa binamu yangu wa haswa haswa Mwana FA
Ni mcheza mieleka wa huko ulaya.....Lol
Pale anaposema,"hapo hapo uliposhika,ukiongeza kidogo nitaumia" Nahisi hazungumzii ngono...
"Nlikuwepo":bolt:
Diamond anakubarika hapo atajaza. Labda kama akipiga na Rich mavoko hapo kazi nzito. Maana naona Rich Mavoko nae anakuja kwa kasi sana katika gemu. Binafsi namkubali Rich Mavoko