Hiki ndicho kipimo cha upendo kwa Platinumz ama ni ushabiki upepo?

Hiki ndicho kipimo cha upendo kwa Platinumz ama ni ushabiki upepo?

Atajaza diamond
!!!!Hivi ameshamnunulia Wema vifaa ya ofisin na kumpangishia jumba la kifahari
Sorry naomba hapa apajibu evelyn atakua anajua

kuwa mwanamke raha kumbe?
haya Evelyn Salt kuja uongee na Dinazarde..!

Nini kupewa jumba la kifahari bana diamond ndo happiness yake
With diamond haitaji hata jumba la kifahari ni malove tu
plattttt beibiiiii
 
Nini kupewa jumba la kifahari bana diamond ndo happiness yake
With diamond haitaji hata jumba la kifahari ni malove tu
plattttt beibiiiii

Wacha wee na kula anakula hayo maloveee??
 
Tunatofautiana kwenye upande wa shows....Me binafsi siwezi kwenda show ya Diamond sababu sio Die-hard fan wake ila Lady Jay Dee anaweza akanikamata akiwa na Band yake....akipiga nyimbo zile za kiutu-uzima....Si unajua tena?Ila hao wakina Ommy Dimpoz na wenzake nitawasupport kwa kununua kazi zao ila Show zao siziwezi.......Labda,Vanessa Mdee anaweza kupata kiingilio changu bila ubishi.........Divas!!
Upande wa wakaka mmmh labda Rama Dee,Ben Pol Kidogo,Mad Ice,Banana na huwa naenjoy Kina JhikoMan(Damn! napenda band yake)...
 
Wengi wa wamiliki wa simu zenye uwezo wa kutunza nyimbo, lazima ukute ana wimbo fulani ama wowote ule wa msanii wa kizazi kipya, diamond platinumz. mimi mwenyewe nikiwemo wa kwanza.

Sasa nimekuwa najiuliza sana, je hii ni indicator kwamba diamond platinumz anapendwa sana na Watanzania walio wengi kwa kazi nzuri nzuri anazozifanya?

Pia, msanii diamond, recently amekuwa akichaji pesa nyingi sana kama malipo kwa kila shoo anayofanya, na bado watu wamekuwa wakihudhuria kwa wingi mno tofauti na wasanii wengine, je hiki nacho ni kipimo kwamba diamond anapendwa kuliko wasanii wengine Tanzania?

wali:

Je, siku ikitokea kukapangwa show moja kufanyika siku moja, muda mmoja, jiji moja hili hili la DAR ila kumbi tofauti,

Je ni msanii gani ataeongoza kwa kujaza ukumbi na wingi wa mapato kati ya diamond platinumz, Lady Jay dee, Mwana FA, na OMMY DIMPOZ?

Assume kwamba, hii show ni mwanamziki mmoja tu, hakuna kusindikkizana!. nani ataibuka kinara hapa?

Diamond anakubarika hapo atajaza. Labda kama akipiga na Rich mavoko hapo kazi nzito. Maana naona Rich Mavoko nae anakuja kwa kasi sana katika gemu. Binafsi namkubali Rich Mavoko
 
Sio lazima kwa sababu siyo sheria, mie mbona sina!!

Yote kwa yote kinachonifurahisha ni kwamba Diamond haimbii NGONO anaimbia MAPENZI. Wanaoimbia ngono ni wale unakuta anaimba sijui mtoto chuchu saa sita, kiuno kimefanyaje sijui na vitu kama hivyo ila, tenzi za Diamond zime-base kwenye mapenzi!! Kwamba kupenda si chuchu, kiuno au ---- kama wafanyavyo wengi, kupenda ni hisia tu.

Pale anaposema,"hapo hapo uliposhika,ukiongeza kidogo nitaumia" Nahisi hazungumzii ngono...

"Nlikuwepo":bolt:
 
una uhakika humfahamu almasi?
.
Kaka kuna jamaa aliniambia yupo hivi apa
.
1656083_467964306659447_2083560085_n.jpg

.
Sasa kweli binadamu wa kawaida yupo hivi... Kama sio huyu naomba picha yake tafadhari
 
Pale anaposema,"hapo hapo uliposhika,ukiongeza kidogo nitaumia" Nahisi hazungumzii ngono...

"Nlikuwepo":bolt:

mapenzi na ngono.. there is a smooth line separating them!

narudia, smooth line..! that means, it can be crossed!
 
Diamond anakubarika hapo atajaza. Labda kama akipiga na Rich mavoko hapo kazi nzito. Maana naona Rich Mavoko nae anakuja kwa kasi sana katika gemu. Binafsi namkubali Rich Mavoko

mkuu kwa hali ya sasa, rich mavoko is uncomparable to diamond ... anachofanya diamond., rich atafanya kwa asilimia 60 tu, i assure you that..

diamond sasa ameshakuwa mwanamziki wa kimataifa..
 
Back
Top Bottom