Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
-
- #61
wewe mwenyewe
Shoo ya hawa itafunika kuliko dp
Wapi wewe.....sizitaki mbichi hizi!!!
haya mama lala! muote diamond bana!
Naomba nkutafutie avatar moja afu utulie nayo
Hahaa! Avatar nnazopenda zinatakiwa zifiti ukubwa kama yako ama ya @ekyanakyomuhaya!
Vingine hivi vinazingua bebii!
ha ha ha
anasema we ndo umeazima jamvi
no way mkuu! mimi ni mtani tu, ndo maana anawaza kwamba ninamhitaji.. walaaa!!
we endelea kumchombeza! mbon anaeleweka bana! kwanini unapima kina cha maji kwa macho?
ingia bana, yakikushinda si unakimbia!! kwani lazima ufie kwenye kidonda kama nzi?
teh teh teh
amesusa!!!
..kwa sasa atakuwa Diamond.
wivu sina ila roho inauma walahi
no way mkuu! mimi ni mtani tu, ndo maana anawaza kwamba ninamhitaji.. walaaa!!
we endelea kumchombeza! mbon anaeleweka bana! kwanini unapima kina cha maji kwa macho?
ingia bana, yakikushinda si unakimbia!! kwani lazima ufie kwenye kidonda kama nzi?
sasa wewe naona unataka kunikalia kichwani.....!
hunijui vizuri eenh! endelea sasa kuchezea pembe za nyati...
Ha ha ha ha basi beibiiiiiii