Hiki ndicho kipimo cha upendo kwa Platinumz ama ni ushabiki upepo?

Shoo ya hawa itafunika kuliko dp

wepi mkuu?

kwa upepo wa sasa ulivyo, diamond anatisha kimtindo, hata kimataifa anaanza kujulikana sana!

hiki kigezo naona nacho kinambeba sana!
 
Hahaa! Avatar nnazopenda zinatakiwa zifiti ukubwa kama yako ama ya @ekyanakyomuhaya!

Vingine hivi vinazingua bebii!

Poa nipe time nikutafutie utafurahi mwenyewe
hapo kwenye red apaone lusungo I told him.....
 
Last edited by a moderator:
Sa we nawe unasakizia kesi za mauaji we mwanamke!

Kwani bebii na baby ni sawa?

Bebii kwa kikurya maana yake ni SHIDA!!

Wala usimpoteze kijana wetu lusungo! Ohooo!

ha ha ha

anasema we ndo umeazima jamvi
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha

anasema we ndo umeazima jamvi

no way mkuu! mimi ni mtani tu, ndo maana anawaza kwamba ninamhitaji.. walaaa!!

we endelea kumchombeza! mbon anaeleweka bana! kwanini unapima kina cha maji kwa macho?

ingia bana, yakikushinda si unakimbia!! kwani lazima ufie kwenye kidonda kama nzi?
 
teh teh teh

amesusa!!!
 
teh teh teh

amesusa!!!

mwanamke hasusi bana! endeleza verse! mi nilioa kwa mtindo huo huo wa kung'ang'aniza hatimae nikajipatia mke!

kuku wako bana, hata akukimbieje, lazima usiku atakuja ndani mwako kulala!
 
no way mkuu! mimi ni mtani tu, ndo maana anawaza kwamba ninamhitaji.. walaaa!!

we endelea kumchombeza! mbon anaeleweka bana! kwanini unapima kina cha maji kwa macho?

ingia bana, yakikushinda si unakimbia!! kwani lazima ufie kwenye kidonda kama nzi?

Unataka nizipaste pm zako za mitongozo kwa lusungo eeh?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom