Natumai mmeamka vyema Makamanda kwa kudra zake mwenyezi Mungu!
Katika maisha ya mwanadamu aliye na uchu wa maendeleo na uchu wa kutumia muda wake hakuna kitu kinakera kwake kama kukaa bila shughuli!
Sawa na mimi, siku yangu huwa mbovu na naweza kushindwa kufikiri sawia endapo ninaamka na siku nzima nakaa kijiweni au nyumbani bila shughuli yoyote ya Msingi!
Pamoja na Kuwa na Kashahada kamoja ila sipendi kujionyesha, ikijitokeza shuguli yoyote ilimradi inanipa kakipato mimi huwa naweka shahada pembeni na napiga kazi!.. Hii imenisaidia sana!
Ewe Kijana mwenzangu katika maisha ya mtaani ninakusihi ficha shahada yako..kwanini? kuna watu mtaani hawana elimu ila wana pesa na wana madili.. sasa tatizo linakuja pale wao wakifahamu una shahada wanakuwa na inferiority complex flani ivi kwamba "Huyu mtu ana elimu hii shughuli hawezi kuifanya" kumbuka ni shughuli ina pesa nzuri labda 50K siku nzima.. ila kwa kuwa umeshajitambulisha una shahada unaikosa!
Maisha ya kitaa yanahitaji maarifa, ukiongeza elimu kwenye maarifa lazima utoboe!
Your Elder Bro!
Santana