Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Sasa wakimchukua mke wangu mimi nitapungukiwa na ninj?
 
watu huelewa from their own level of understanding and kuhusu ushauri nishatoa
 
Mzazi unatakiwa kujua kwanini Mungu alimuumba mtoto, Mungu amemuumba kila mtoto kwa kusudi lake, KWAMBA SI KUSUDi LA MUNGU KUUMBA MSAGAJI AU SHOGA.

Narudia tena kuandika malezi na makuzi ya mtoto leo, ndio yanayo mfanya awe kesho.

je umewahi jiuliza kwa nini ushoga na usagaji na matumizi ya madawa ya kulevya sasa umeshika kasi kuliko wakati wowote?.
 
Yesu awasaidie aisee!
So sad!
Na hii laana inayembea vizazi na vizazi
 
sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine

Na Kwanini umeamua kua hivyo !
 
sometimes nafikiria hizi siri zangu zikitoka nje familia yangu itachukuliaje ila end of the day; kila mtu ana dark side yake and this is mine. I'm gay and its fine

Naona unajipigia promo
 
Kuna mwamba humu amefanya uzi wake
Amatetea nafsi yake kufilwa

Dah amakweli tunatofautiana
Yaani mim mwanamke akiwa kama wenge tu hua siwezi kusimamisha
Afu kunamwamba anasimamisha kwa mwanaume mwenzie daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao dawa Yao ni kupiga pumbu alaf unachora hao ni type ya akina salama, sjui DJ Fety , mamy baibe , Mina ally and the like ...hakuna kuweka kambi hapo....
meena ally apo umemuonea
 
Hao dawa Yao ni kupiga pumbu alaf unachora hao ni type ya akina salama, sjui DJ Fety , mamy baibe , Mina ally and the like ...hakuna kuweka kambi hapo....
DJ fty Kwa sasa naona kaacha
Huo ujana karud kua mwanamke analea mtoto
Wake vizur
 
Hao watu mimi wala sina matatizo nao, maisha yao kwa mpango wao. Tatizo hapa linakuja kwa gay men, wanapenda attention kuliko kawaida. Wasumbufu sana, wakiona wanaume wanajigeuzageuza mpaka kero. Wanafikiri wanaume wote tunapenda wasenge. That's not cool. Gay or not, mind your business, usiwaletee usenge wako watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…