Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

Kuna usemi unasema "hakuna bingwa wa malezi". Mkuu, Mtoto akiamua kushindikana anashindikana tu hata kama mzazi amemlea vizuri kiasi gani. Wazazi tuna mtihani sana, Ni kuomba Mungu tu.
Tatizo linakuja wewe Kama mzazi unampa maadili mazuri,lakini rafiki yake mwanao ndiyo wanampotosha na kufuata ,miongozo ya marafiki
 
Masuala ya malezi tusiringanishe na suala la kwenda mbinguni mkuu, tuwajadili Tu hawa wadada Ile kibinadamu Tu , Ila ukitaka ulinganishe malezi ya watoto na suala la kwenda mbinguni mbna unapiga OP moja makini Sana ..... Mbinguni hata wakuu wa dini hawatoboi , kama ulivyosema most of them tutakuwa nao sehemu moja , sa hv hatujuani matendo Ila daaah watu ni waovu kupita maelezo
 
Haswaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…