Hiki ndicho ninachokiamini.

Hiki ndicho ninachokiamini.

Vizuri ila Kwa huyo role model wako wata hawachelewi kufanya association principle.
 
Habarini za Ahsubuh ndugu zangu nikiwa naandika hoja kama hizi basi huwa najisikia raha na Amani na nina uhakika 95% hiki ndo kipaji changu na ipo siku nitakuwa kwenye midahalo mikubwa, maukumbi makubwa ama vyuo vikuu nikitoa speech kuhusu kile ninachokiamini kufikia malengo ila katika kufikia hayo ni lazima ukubali kuanzia chini, lazima ukubali kuteseka, lazima ukubali kudharaulika...
Point yangu ni hii hivi leo unatamani kuwa mtu mkubwa na mwenye mafanikio tambua huyo unaemuona hajajikuta yupo hapo nae alianza chini. Mfano mimi mwenyewe role model wangu katika mafanikio na kufikia ndoto ni Harris kapiga mtangazaji wa Clouds fm na ni public speaker pia MC ila naimani hajaanzia hapo sasa kama mimi siwezi kujikuta tyu nipo kwenye midahalo mikubwa na kutoa speech naweza anzia chini kama kutembelea mashuleni kuhasa wanafunzi kuanzia hapo lazima nitapata uzoefu na nitaanza kuonekana kwa watu.

Pia kama unatamani kuwa presenter kwenye media kubwa like CLOUDS, AZAM, EATV nk ni lazima ukubali kuanzia chini zipo radio za mikoani tena nyingi huwa unafanya kazi kwa kujitolea kwa kuwa unajuwa unachokifanya unaweza jitolea kutangaza huku ukipata uzoefu na kutengeneza vocal ila kukurupuka na kwenda media kama clouds pale kuna majitu yanavipaji hatari so tukubali kuanza chini kila tajiri ukisikia historia yake kaanzia chini.
Ikumbukwe mafanikio hayaji kirahisi na kila mwenye nia ya dhati ndo anafanikiwa kikubwa ni kukubali kuanza chini kila tajiri ukisikia historia yake kaanzia chini.

Wengi tunaamini mafanikio ni pesa hapana mimi napingana na hii kauli kila siku nitakuja na post kuprove hiki ninachosema..

The single most powerful asset we all have is our mind, if it is trained well, it can create enormous wealth... Ahsanteni sana

Abdullah_Ally
Ok kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwenye kukubali kuumia na kuteseka

Nipo hapa washkaji wanaongea kuhusu movie na magemu wanawekeana wana enjoy mazee, mie napenda hayo mavitu ila pesa yote nimechoma meri | mungu nijaarie nije kuji-proud maamuzi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za Ahsubuh ndugu zangu nikiwa naandika hoja kama hizi basi huwa najisikia raha na Amani na nina uhakika 95% hiki ndo kipaji changu na ipo siku nitakuwa kwenye midahalo mikubwa, maukumbi makubwa ama vyuo vikuu nikitoa speech kuhusu kile ninachokiamini kufikia malengo ila katika kufikia hayo ni lazima ukubali kuanzia chini, lazima ukubali kuteseka, lazima ukubali kudharaulika...
Point yangu ni hii hivi leo unatamani kuwa mtu mkubwa na mwenye mafanikio tambua huyo unaemuona hajajikuta yupo hapo nae alianza chini. Mfano mimi mwenyewe role model wangu katika mafanikio na kufikia ndoto ni Harris kapiga mtangazaji wa Clouds fm na ni public speaker pia MC ila naimani hajaanzia hapo sasa kama mimi siwezi kujikuta tyu nipo kwenye midahalo mikubwa na kutoa speech naweza anzia chini kama kutembelea mashuleni kuhasa wanafunzi kuanzia hapo lazima nitapata uzoefu na nitaanza kuonekana kwa watu.

Pia kama unatamani kuwa presenter kwenye media kubwa like CLOUDS, AZAM, EATV nk ni lazima ukubali kuanzia chini zipo radio za mikoani tena nyingi huwa unafanya kazi kwa kujitolea kwa kuwa unajuwa unachokifanya unaweza jitolea kutangaza huku ukipata uzoefu na kutengeneza vocal ila kukurupuka na kwenda media kama clouds pale kuna majitu yanavipaji hatari so tukubali kuanza chini kila tajiri ukisikia historia yake kaanzia chini.
Ikumbukwe mafanikio hayaji kirahisi na kila mwenye nia ya dhati ndo anafanikiwa kikubwa ni kukubali kuanza chini kila tajiri ukisikia historia yake kaanzia chini.

Wengi tunaamini mafanikio ni pesa hapana mimi napingana na hii kauli kila siku nitakuja na post kuprove hiki ninachosema..

The single most powerful asset we all have is our mind, if it is trained well, it can create enormous wealth... Ahsanteni sana

Abdullah_Ally
mwanaume unaandika neno "tyu"
 
fanya badilisha huyo role model kwanza ndo uje tena
 
BUT UP.

Success in life is always about an idea and how it is developed into materialism.

PESA SIYO MSINGI WA MAENDELEO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom