Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Baada ya siku mbili tu za majibu ya Pakistan kupitia opereshi Marsoos tulimsikia Mark Rubio wa Marekani akisema wamepata intelijensia na wakatumia usiku mzima kuzungumza na waziri mkuu wa India,Modi ili kufikia suluhu ya kusitisha vita haraka.Tukawa tunajiuliza ni habari gani hizo za siri.?
Kumbe katika kipindi cha wiki mbili cha majigambo ya waziri mkuu wa India kuipiga Pakistan na ukanushaji wa Pakistan kwamba hawakuhusika na shambulio la Palgam.Kipindi hicho Pakistan haikulala kabisa na China aliona ni fursa ya kuionya Marekani na uchochezi wake wa Taiwan.
Katika kipindi hicho Pakistan na China kwa siri walibadilisha mifumo mikongwe yote ya ulinzi ya Pakistan na kuhamisha ndege za kisasa za China tayari kwa mapambano na India.
Siku ilipofika Pakistan kujibu uchokozi wa India ilitumia nguvu ndogo tu kuzidondosha ndege bora za kivita za India na kuyadungua makombora yake pamoja na kuyazuia kuruka kwa usahihi ikabidi yadondokee ndani ya India.Ndege za India kutoka Ufaransa ziliangusjwa kiaibu kwa kupigwa makombora juu kwa juu na ndege za kichina..Pakistan yenyewe ilifanya hivyo bila kupata hasara kubwa na huo ulikuwa kama ni mwanzo tu huku droni za Pakistan zikianza kutolewa uwanjani.
Kuanzia siku hiyo ule mdomo mdomo wa Modi ukaisha na akaanza kununiana na mawaziri wake pamoja na wapinzani waliomtaka atoe maelezo vizuri kuhusiana na kipigo hicho.
Hiyo ni tofauti kabisa na hoja za kishoga na kijinga za mataifa ya kiarabu. pamoja na wapenzi wao ndani ya JF. .Eti zilipigana na Israel mwaka 1967,1972,1973 na kadhalika.Miaka karibu 60 iliyopita.Hicho ndio kisingizio cha kuachia mauaji ya kimbari kwa mabomu na njaa.