Hiki ndicho walichogundua Amerika ikabidi kuiokoa India kutokana na kipigo cha Pakistan

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Baada ya siku mbili tu za majibu ya Pakistan kupitia opereshi Marsoos tulimsikia Mark Rubio wa Marekani akisema wamepata intelijensia na wakatumia usiku mzima kuzungumza na waziri mkuu wa India,Modi ili kufikia suluhu ya kusitisha vita haraka.Tukawa tunajiuliza ni habari gani hizo za siri.?

Kumbe katika kipindi cha wiki mbili cha majigambo ya waziri mkuu wa India kuipiga Pakistan na ukanushaji wa Pakistan kwamba hawakuhusika na shambulio la Palgam.Kipindi hicho Pakistan haikulala kabisa na China aliona ni fursa ya kuionya Marekani na uchochezi wake wa Taiwan.

Katika kipindi hicho Pakistan na China kwa siri walibadilisha mifumo mikongwe yote ya ulinzi ya Pakistan na kuhamisha ndege za kisasa za China tayari kwa mapambano na India.

Siku ilipofika Pakistan kujibu uchokozi wa India ilitumia nguvu ndogo tu kuzidondosha ndege bora za kivita za India na kuyadungua makombora yake pamoja na kuyazuia kuruka kwa usahihi ikabidi yadondokee ndani ya India.Ndege za India kutoka Ufaransa ziliangusjwa kiaibu kwa kupigwa makombora juu kwa juu na ndege za kichina..Pakistan yenyewe ilifanya hivyo bila kupata hasara kubwa na huo ulikuwa kama ni mwanzo tu huku droni za Pakistan zikianza kutolewa uwanjani.

Kuanzia siku hiyo ule mdomo mdomo wa Modi ukaisha na akaanza kununiana na mawaziri wake pamoja na wapinzani waliomtaka atoe maelezo vizuri kuhusiana na kipigo hicho.

Hiyo ni tofauti kabisa na hoja za kishoga na kijinga za mataifa ya kiarabu. pamoja na wapenzi wao ndani ya JF. .Eti zilipigana na Israel mwaka 1967,1972,1973 na kadhalika.Miaka karibu 60 iliyopita.Hicho ndio kisingizio cha kuachia mauaji ya kimbari kwa mabomu na njaa.

China moved satellites to help Pakistan shoot down Indian jets​

 
Kilichosimamisha Vita ni baada ya India kutarget milima ambayo mabomu ya Neucler ya Pakistan yamefichwa so disaster ingekuwa kubwa sababu Pakistan alikuwa anaogopa kutungua hata drone akihofu defance system zake zitaonekana na zikiwa target kwa makombora makubwa na wingi wa missile watamalizwa... Siku hizi watu hawapigi kombora moja moja kama Houthi wabahili.. na huu mchezo aliuanzisha Israel kutungua pantasir ya Russia kule Syria enzi za Assad..

TAMBUENI Kuna Aliens among us The watchers wapo kwa ajili ya kuzuia Dunia isiangamie wanatumia kila njia kuzuia this world is not ours na Wenye Earth hawawezi kuacha iteketee kama Mars
 
Kama link ya uzi umeisoma utaona kuwa waliofichua siri ya kilichowapata India ni wahindi wenyewe ndani ya wizara ya ulinzi.Hizo zako ni porojo tu.
 
 
Kama link ya uzi umeisoma utaona kuwa waliofichua siri ya kilichowapata India ni wahindi wenyewe ndani ya wizara ya ulinzi.Hizo zako ni porojo tu.
Hivi huwa unajua malengo ya Vita? India imeua mkuu wa Magaidi waliokuwa wanalindwa na Pakistan kishangazo Pakistan inawaita watoto wa hizo madrassa za Magaidi ni askari wao wa ziada na huyo mkuu wa Magaidi aliyeuliwa na India jeneza lake lilifunikwa kwa bendera ya Pakistan..

India alibomoa machimbo yote ya Magaidi
 
Kama link ya uzi umeisoma utaona kuwa waliofichua siri ya kilichowapata India ni wahindi wenyewe ndani ya wizara ya ulinzi.Hizo zako ni porojo tu.
Hivi huwa unajua malengo ya Vita? India imeua mkuu wa Magaidi waliokuwa wanalindwa na Pakistan kishamgazo Pakistan inawaita watoto wa hizo madrassa za Magaidi ni askari wao wa ziada na huyo kiJenina wao jeneza lilifunikwa kwa bendera ya Pakistan..

India alibomoa machimbo yote ya Magaidi
 
Ukweli ni kwamba China aliuza teknolojia yake ambayo imestua dunia. Kama kawaida wazungu hawakutaka waendelee wakawaziba mdomo
 
ushabiki wa kijinga jinga huu...
Kwa historia ya ugomvi wa hao watu USA Amekuwa mstari wa mbele kupooza watu wasiuane.
Tangu mwaka 1947 watu wanapoteza maisha pale....KUIBEZA US katika utatuzi wa haya madhila ni Matumizi mabaya ya akili.
 
wahindi wale kelele nyingi tu ila walichokipata sidhani kama watajaribu tena kwa siku za karibuni. China kwa sasa hashikiki kabisa.
Wahindi wakishashiba dengu na kuber wanaona kila kitu wanaweza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
amini mkuu
 
We kweli kilaza
 
Ukweli ni kwamba China aliuza teknolojia yake ambayo imestua dunia. Kama kawaida wazungu hawakutaka waendelee wakawaziba mdomo
Hamna kitu vita ni akili tu.. eneo la mapambano ni dogo na kila mmoja alikuwa anavizia.. and siku hizi defance system inarusha missile nyingi kwa mpigo so unaweza angusha ndege kibao... Mchina ni mchina huwezi mtrust wale wazee wa kucopy tu
 
Umri wako naona unajiharia pointless eti allies mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ