Hiki ndio alichokesema Thierry Hendry baada ya game ya jana kati ya PSG na Bayern Munich. UCL semi fainal

Bayern alipigwa na Arsenal 3 msimu huu,au wewe hufuatilii mambo
Hiyo Asenali ya mwanzo wa msimu sio hii ya siku hizi inayoishi kwa kudra za Mungu.

Haijui kukaba wala kushambulia, ipo ipo tu, inategemea kubahatisha ushindi wa 1-0 ichukue ubingwa.
 
Mmh source ya maneno haya ni ipi?? Henry hajasema haya maneno kabisa , nipe source ya haya maneno ameyasema kwenye channel gani?
Jana Henry kwenye CBC amesema ivi "
Henry, for CBS Sports, reviewed the game, stating: “Risks. We’ve been talking about how we watch a lot of teams that do not take any risks

“Wingers that don’t dribble, people that don’t go forward, they’re thinking about not losing the game instead of winning it.

“Well, tonight, we have plenty of risk situations at times.


“Maybe if you think about, if you have your defensive hat on, you’ll go crazy on some stuff that you might see or (what) you saw tonight. But I don’t care.

“You know what, we’ve been complaining for more than one year or one-and-a-half or two years that football is ‘boring’ in brackets and whatnot.

“That game wasn’t boring. And again, if you put your professional hat on, we’re gonna have to analyse some stuff about the goals that were conceded.

“But you know what? I enjoyed myself and I think everybody at home enjoyed themselves.

“It’s just crazy, as you said, that’s a score you see normally on aggregate at the end of a tie.

“You saw that, it was just crazy at times.”

Hayo engine sijui ni maneno ya Henry wa tandika mkuu? Sijui umeyaokotea wapi?
 
Hakuna sehemu Henry kasema haya maneno mkuu, wewe ni Platinum member halafu unatuletea vitu vya kuokoteza kama hivi asee.
 
Naye huyu chogo muongeaji sana. Mbona alishindwa akiwa kocha?
 
Sisi watia nia kwa Muhindi hizo ni faida..haiwezakani wanaume kibao mnakaa kwenye Dimba mnakuja kutoa under 0.5..***** zenu kwendeni huko
 
Ile mbugi ya jana ilikua balaa. Mchaka mchaka mwanzo mwisho. Pale kama pumzi kisoda first half tu unaomba kupigwa sub. Mendes kalala na viatu jana. Yule olise anateleza kama samaki kwenye maji
Mendes misifa ya bure Jana kapelekewa moto na Olise mpaka anatia huruma , Bora alivyoingia mnyama Fabian Ruiz Olise alitiwa mfukoni.

Natamani Olise angekuwa anakutana na mwamba Hakimi tungeona battle ya nguvu ila ndio nafasi tofauti.
 
Yeye yupo sahihi kwa upande wake kama pro, na wewe upo sahihi kwa upande wako kama shabiki.

Ndio maana akasema... "for the fans, of course, it’s exciting".
 
Ni maoni yake tuyaheshimu, lakini kutofungana magoli au kufungana goli chache mimi siamini kama ndiyo kipimo cha ubora wa timu.

Matokeo ya mechi hayafanyi kuudharau mchezo
Amezungumzia zaidi weakness ya mabeki ambayo imesababisha magoli kuwa mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…