Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
umaarufu kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa watoto wote wamenichosha hawana adabu..huyu anasema hili ,mwingine anasema vile ... ukiangalia kwa umakini wote wana matatizo...
Mna kazi!!!
Enzi zetu miaka ya 80s mdada kama wema tulikuwa tunamuita "Fox" au "Jamvi la wageni"
Moja kati ya Makosa tuliyowahi kufanya watanzania ni pamoja na kumchagua Wema kuwa Miss Tanzania.:crying:
Enzi zetu miaka ya 80s mdada kama wema tulikuwa tunamuita "Fox" au "Jamvi la wageni"