kama ulifaul vzur nazan upo ardhi,ardh pako poa ila mi sipend dar nabadlisha mazngira,kuna jamaa yangu,kasoma lugalo primary,o level makongo pale pale,advance makongo,chuo anakatiza kidogo juu pale ardhi yaan haend mbali maana anakaa lugalo.
na akati nina mtu aliyemaliza 2008 hapo yupo mtaani anawerawera njaaa ,NI BORA HATA CBE kuliko hicho chuo cha wajingaChuo kikuu kishiriki cha masomo ya ushirika na biashara Moshi (MUCCoBS) ambacho ni tawi la SUA kimeendelea kuthibitisha kuwa ndio chuo bora zaid katika masomo ya biashara. Katika matokeo ya mitihani ya bodi ya uhasibu (CPA) wanafunz wote wa MUCCoBS waliofanya mitihani hiyo wamefanikiwa. Upande wa mitihani ya bodi ya ugavi (PSBTB) 80% ya waliopita wamemaliza MUCCoBS! Wewe una maoni gani? Kwangu mimi hichi ndio chuo bora cha biashara Tz
Mkuu ningekupa like hapo kwa kukifagilia chuo changu. Teh teh
na akati nina mtu aliyemaliza 2008 hapo yupo mtaani anawerawera njaaa ,NI BORA HATA CBE kuliko hicho chuo cha wajinga
Sijajua bado nani aliyekupa takwimu hizo? Ila kama kweli unajua unachongelea na kama kweli umepita kwenye hizo kampuni basi ka nafsi chako kanakusuta kwa uongo ulosema!Kwa mujibu wa taarifa zlizotolewa afisa habari wa tcu,alisema kwamba zaidi ya 90% ya wanafunz wanao omba vyuo vikuu,huweka udsm kama their 1st choice..sasa chuo cha mchangani kama muccobs nao wanajisifu nini,ebu we mleta mada zunguka kwenye makampuni makubwa hapa bongo uone kama kuna boss wa hayo makampuni ambae ni graduate wa muccobs!shule nzuri kwa masomo ya biashara hapa bongo ni 1}udbs,2}mzumbe,3}ifm,4}TIA,5}CBE
hahahahaaha kipi hiko mkuu
Yawezekana kweli lakin swali langu kwako ni je hao unaowaita vilaza unaweza ukasimama nao kwenye interview? Walingia kama vilaza lakin wametokaje? Kumpandisha mtu hiyo ndio elimu bora na si kumkuta mtu yupo juu afu ukamshusha kama wanavofanya hao wengne!Weka idadi ya wanafunzi wa kutoka MUCCOBS waliofanya mtihani NBAA na idadi ya wanafunzi wote waliofanya mtihani huo. Hii itasaidia kufanya ulinganishi wa kiuwiano.
Ukishindwa kufanya kama nilivyo kuelekeza, utatuthibitishia wasomaji kuwa MUCCOBS ni chuo cha vilaza, maana mwaka wangu wa masomo tulipojiunga na mwaka wa kwanza, mnamo mwaka 2007, asilimia kubwa ya waliojiunga na MUCCOBS ni wale waliochemka kupata UDSM na MZUMBE kwenye masomo ya biashara.
Ifm mkuu
Kinachozungumziwa hapa ni jinsi gani mtu anatoka chuo na si kaingiaje! Bahati nzuri nimekutana sana na wanafunzi kutoka CBE, IFM na TIA wakati wa field, mtu mwaka wa pili accounts ndogo tu zinamtoa makamasi! Wako empty hakuna mfano!
Sasa mbona pepa za bodi wanakimbizwa vipi?wee jipe moyoo tuu.! Vipi wa udbs,mzumbe hujakutana nao badoo
Sasa mbona pepa za bodi wanakimbizwa vipi?
Kwa mujibu wa taarifa zlizotolewa afisa habari wa tcu,alisema kwamba zaidi ya 90% ya wanafunz wanao omba vyuo vikuu,huweka udsm kama their 1st choice..sasa chuo cha mchangani kama muccobs nao wanajisifu nini,ebu we mleta mada zunguka kwenye makampuni makubwa hapa bongo uone kama kuna boss wa hayo makampuni ambae ni graduate wa muccobs!shule nzuri kwa masomo ya biashara hapa bongo ni 1}udbs,2}mzumbe,3}ifm,4}TIA,5}CBE
Binafsi katika machaguo ya vyuo vikuu nilichagua random ,kutokana na ukweli kwamba katika kozi za sanaa hakukuwa na chuo kilichoweka cuttof zaidi ya tano
hapa hatuongelei wingi wa wanafunzi wanaoomba,after all Muccobs inachukua wanafunzi wachache na not less than 4.5 credit,IFM ni zoa zoa kuna msela wangu alikuwa na 2.0(E,E,F) yuko pale anapiga Ba of accountancy! Kuna jamaa zangu wamepiga HGL,HGK wako IFM wanapiga banking and finance,accountancy,je kuna ubora upi pale darasa lina watu 700,lect 1? Muccobs Baaf tuko 70,accounting maclecturer wamegawana topics,mfano a/c two kuna maclucturer 4,a/c three malecturer 5,a/c four malecturer 5, waulize ifm na mzumbe kama wanaijua a/c four? Waulize kama wanaijua saccos a/c?, a/c ya Ifm ya kijinga mwanafunzi anafanya mtihani wa kuchagua maswali yote, hvyo sana pale. DOGO perry usijifanye unajua kila kitu,wanafunzi wenyewe wa ifm a/c wanajua mziki wa Muccobs,waulize watakwambia kama ni wasema kweli..nenda NBAA Wakwambie, nenda BOA bank kila branch kama utakosa majembe ya muccobs,nenda TIB, nenda kokote, nenda bank za ushirika na saccos huko ndo wamelala,nenda kaka,nenda...nenda utakuja kunambia.