Hiki ndio Kikosi Bora Kilichomaliza Msimu "Unbeaten" katika VPL

Mkude anasugua benchi
 
Umetisha sana
 

Asante kwa kuweka rekodi sawa! Ila si unajua tena lengo la uzi huu ni kuwakera kidogo wale jamaa wa hostel[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa kuweka rekodi sawa! Ila si unajua tena lengo la uzi huu ni kuwakera kidogo wale jamaa wa hostel[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanakereka hasa sababu simba alimaliza raundi ya kwanza bila kufungwa wala droo wao raund ya kwanza droo kibao alafu ushind mwing wa kubahatisha na unataka unbeaten kweli?
 
Renzo njoo hapa kuna mambo mtamu!
 
Duniani kote record za unbeaten zilizowekwa kiukweli hizo klabu zilikuwa za moto kwa msimu husika. Ilikuwa aibu sana na kuishushia viwango ligi yetu kwa timu inayocheza pira lisiloeleweka eti iwe unbeaten.
We!! Goli tano ulifungwaje? Yanga hawataki kusikia habari hii!! Ni mwiba mkali na mkuki moyoni: Simba 5 - 0 Yanga. Habari ndo hiyo, mzunguko ujao tutapiga wiki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…