Hiki ndio Kikosi Bora Kilichomaliza Msimu "Unbeaten" katika VPL

Ilikuwa ni msimu wa 2011/12 ambapo kikosi hiki kilimaliza msimu bila kufungwa yaani kwa kimombo "Unbeaten"

Kikosi hiki kilikuwa kikienda katika viwanja vigimu mno kama Mkwakwani kilikuwa kinashinda goli 3 bila majibu, hivyo baadhi ya vilabu vinapaswa kuendelea kutoa heshima kwa kikosi hiki cha Unbeaten.

Kikosi hiki bora kilikuwa kikikutana na timu fulani wanaovaa jezi za njano na kijani, kikosi hiki kinashinda goli 5-0 huku hadi kipa Kaseja akifunga kwa mkwaju wa penati.

Ni muda sasa wa kuendelea kutoa heshima kwa kikosi hiki maana historia yake imeshindwa kuvunjwa na baadhi ya timu.

Wataje walau hata nyota kadhaa unaowakumbuka katika kikosi hiki...
View attachment 1717378
Mkude anasugua benchi
 
Sio kweli FORTALEZA msimu huo atukua unbeaten mechi ya kwanza mzunguko wa kwanza tulifungwa na yanga 1-0 goli alifunga jerry tegete na mechi nyingne na African Lyon nayo tulipoteza 1-0 ni izo tu 2.
ila tukawa mabingwa na mzunguko wa pili tuliwabugiza yanga bao 5-0 wafungaji EMA okwi 2
Felix sunzu1 penat 1
Mafisango penat 1 R.I. P
Kaseja penat 1

Msimu wa 2009/2010 ndio tulikua unbeaten atukufungwa na yeyote zaidi ya droo 2 tu na kagera sugar na African Lyon hii mechi ya African Lyon goli alifunga popa mbwana samata na ndio mech iliyo mtoa samata na Simba kumuona, na baadae mussa hasan mgosi akaja sawazisha goli alikua kwenye pik sana mgosi na alikua mfungaj bora kwa jumla ya goli 18 akifwata na Ngasa wa yanga goli 15 au 14.
Katika msimu huo Simba alimfunga yanga nje ndani mechi ya kwanza Simba anashinda goli 1-0 mfungaji mussa hasan mgosi assist Dan mrwanda na mechi iyo mrwanda alipewa kadi nyekundu baada ya kujiangusha kwenye box akikabana na Amir mafta. Simba walimaliza pungufu na kwa ushindi.
Mzunguko wa pili Simba alishinda 4-3 zidi ya yanga
Wafungaji Simba Uhuru selemani mwambungu supe sub uyu robinho 10 dakka ya kwanza tu akaweka chuma mechi iyo alianza nakumbuka kipa wa yanga alikua obren curkovic mzungu uyu wa Serbia,
magoli mengine mgosi mawili alifunga na dakka za mwisho wakati mechi ikiwa 3-3 na watu wakiamini ngoma itaisha droo Hilali echesa fundi wengi watamkumbuka uyu mwamba mkenya alipokea assist ya Emanuel okwi aliemtoka nsajigwa na kumpa echesa mpira aliekua nje ya boksi kisha jamaa Ku uchompu mpira na kutinga wavuni alishangilia kwa kuvua shati na alikua ana kadi ya njano akapewa nyekundu na mechi ikiwa inaisha maana zilikua ni dakika za nyongeza.
Magoli ya yanga yalifungwa na athumani iddi chuji, tegete mawili moja la penati hii mechi tegete alitokea benchi na alikuaga na bahat sana na simba uyu kwenye magoli.

Redi card umeme waliopata kwa simba ni hilaly echesa kwa kuvua jez akiwa na kadi ya njano
Yanga alipata Amir mafta msimu huo 2009/10 alikua yanga kwa kumpiga Kofi juma nyoso lakin ukweli ni kwamba juma nyoso alimfanyia mchezo mchafu kwa kumpiga dole mafta ila refa akuona na alikuja kuona tukio la mafta kumrudishia kwa kumpiga Kofi na akapata redcard mwingne ni wisdom ndlovu mmalawi uyu beki wa kat wa yanga uyu alikula nyekundu kwa kumfanyia faulo mgosi jumla ya wote waliopata nyekundu walikua wa tatu.

Hii mechi kocha wa simba alikua Patrick phiri lakin siku hii akuepo alikua kwao na bench pale alikaimu mzirai kitu ka icho kwa sasa yupo mbeya city nahisi.
Kikosi cha simba kilicho anza nakumbuka alikua
Juma kaseja 1
Salumu kanoni2
Juma jabu 3 JJ
Kelvin yondani4
Joseph owino Gera 5
Hilary echesa 6
Niko demas nyagawa 7
Mohamed simba banka 8
Musa mgosi 9
Mike barasa 10 alitokea yanga uyu
Uhuru selemani mwambungu 11

Yanga sikumbuki vizuri kikosi chao
Obren curkovic 1
Shedrak nsajigwa 2
Amir mafta 3
Wisdom ndlovu 4
Nadir haroub 5 (canavaro)
Athuma iddi 6
Moses odhimbo 7 alitokea simba uy
Abdi kasimi babi8 baraki wa unguja
mrisho ngasa 9
boniface Ambani 10 uyu mwamba kipindi hiki alikua kapungua makali sana.
Shamte ally 11
yanga nimewakumbuka hao kwa kiasi chake na hao ndio walianza kama nimekosea ni kidogo sana .
hii mechi wakuu niliangalia startv kipindi icho walikua wnarushaga baazi ya mechi startv Africa.

Na huu ndio msimu ambao simba alichukua ubingwa bila kufungwa msimu wa 2009/2010 ukiacha na msimu mwingne uko nyuma kwa atakae bisha aende Google asechi na atakuja kuleta credit hapa mwenyewe akuna la uongo nililo andika hapa.
Msimu huo wa 2009/10
Simba mechi ambayo alitangaza ubingwa ilikua ni zidi ya azam
Simba alishinda 2-0 na magoli yote yalifungwa na mike barasa mkenya uyu na siku iyo ndio rasmi simba ikawa bingwa maana akuna timu ambayo angeifikia kwa point niliskiliza mechi kupitia TBC taifa japo baada ya goli la kwanza mitambo ilikata na aikurudi.
Nilifika sikia kwenye kipindi cha michezo TBC saa moja na nusu.

NB kipindi icho nilikua form two na nilikua naifatilia sana chama langu pendwa simba sports club Taifa kubwa lunyasi
Nimeweka baazi ya picha nimepata kwa bin zuberi bahat mbaya Sana kikosi akionekani vizuri ila kocha Patrick phiri anoanekana apo ata mzirai pia na mgosi iyo jezi ndio ilitumika msimu huo 2009/10 lakini pia kuna habari hapo kidogo nime iambatanisha kutoka bin zuberi ni vile vile tu . ukienda kule utapata habari yote bahat nzuri ipo.
Record za unbeaten Tanzania zinashikiliwa na simba mara2 nafikiri na azam Mara moja .
Asanteni nilikua namkunbusha mwana simba mwenzangu FORTALEZA .
Umetisha sana
 
Asante kwa kuweka rekodi sawa! Ila si unajua tena lengo la uzi huu ni kuwakera kidogo wale jamaa wa hostel[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wanakereka hasa sababu simba alimaliza raundi ya kwanza bila kufungwa wala droo wao raund ya kwanza droo kibao alafu ushind mwing wa kubahatisha na unataka unbeaten kweli?
 
Ilikuwa ni msimu wa 2011/12 ambapo kikosi hiki kilimaliza msimu bila kufungwa yaani kwa kimombo "Unbeaten"

Kikosi hiki kilikuwa kikienda katika viwanja vigimu mno kama Mkwakwani kilikuwa kinashinda goli 3 bila majibu, hivyo baadhi ya vilabu vinapaswa kuendelea kutoa heshima kwa kikosi hiki cha Unbeaten.

Kikosi hiki bora kilikuwa kikikutana na timu fulani wanaovaa jezi za njano na kijani, kikosi hiki kinashinda goli 5-0 huku hadi kipa Kaseja akifunga kwa mkwaju wa penati.

Ni muda sasa wa kuendelea kutoa heshima kwa kikosi hiki maana historia yake imeshindwa kuvunjwa na baadhi ya timu.

Wataje walau hata nyota kadhaa unaowakumbuka katika kikosi hiki...
View attachment 1717378
Renzo njoo hapa kuna mambo mtamu!
 
Duniani kote record za unbeaten zilizowekwa kiukweli hizo klabu zilikuwa za moto kwa msimu husika. Ilikuwa aibu sana na kuishushia viwango ligi yetu kwa timu inayocheza pira lisiloeleweka eti iwe unbeaten.
We!! Goli tano ulifungwaje? Yanga hawataki kusikia habari hii!! Ni mwiba mkali na mkuki moyoni: Simba 5 - 0 Yanga. Habari ndo hiyo, mzunguko ujao tutapiga wiki!!!
 
Back
Top Bottom