Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi


Kwa chini ni timu ambazo Yanga imekutana nazo, moja nusu fainali, na nyingine Fainali



Screenshot_20230604-101459.png
Screenshot_20230604-101312.png
Screenshot_20230604-101410.png
 
Kitu huwezi waambia watu wako ni kuwa USM A ana vipolo viwili akishinda vyote anapanda hadi nafasi ya tatu
Anyway USMA alimtoa FAR ambae anamuongoza aliyekutoa
 
Kama timu yako imecheza kombe ambalo halishirikishi timu zifuatazo , basi hilo ni kombe la loosers na hupaswi kutamba humu kwamba umefika fainali.
1.Aly Ahly - Misri
2.Wydad - Morocco
3.Mamelod-SA
4. Zamalek _ Misri
5.Raja Casablanca -Morocco
6.Simba sc - Tz
 
 
Kauli ya Rage inasadikika kila siku ,haya Chelsea alichukua UEFA akiwa wa ngapi ,Sevila je haya nyie kwa Kaizer ilikuwaje ?
 
Back
Top Bottom