Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Asante refaLkn pia kwenye msimamo ligi kuu
1.Yanga
2.Simba
Ile 2.2bn ya GSM kwa TFF ilikuwa kwa misimu miwili, kwa kazi gani vile?Asante refa
Halafu no 1 kapoteza kombe kwa timu iliyo kwenye nafasi sawa na Prison ya Mbeya hii no 1 ni kitukoLkn pia kwenye msimamo ligi kuu
1.Yanga
2.Simba