Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujapenda kama nani? au wewe ndio Tanasha mwenyewe?Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.
Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda kumtunza Mondi kiukweli pesa alitoa nyingi lakini kitu kilinishangaza ni kumkatikia Mondi kimahaba wakati mmiliki Tanasha yupo kwenye tukio na hakukuwa na ulazima wakufanya hivyo.Hawa macelebrities wa kike wanakwama wapi?jifunzeni kwa madam Rita ambae hakufanya mbwembwe zozote kwenye kumtunza Mondi lakini pia ni mama mwenye kujiheshimu.
Lulu Diva unafanyaje mambo ya ovyo Kama hayo wakati tukio nzima linatazamwa na watu wengi.Yaani ingekuwa ndo Mimi nafanyiwa Kama Mondi alafu mpenzi wangu yupo kwenye tukio shuhhuli ingeisha hapo hapo maana mpenzi wangu ana wivu uliopita ile mbaya kitendo tu Mimi kusalimiana na mwanake kwa mkono tu lazima aanzishe timbili.
Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.

Hahaaaa, siku hizi anaitwa "lips denda" mkuu from domo [emoji3]Hela bhana
Zamani jamaa mademu walikuwa hawamtaki wanasema jamaa ni DOMO [emoji1787]
Acha awatafune tu
kumbe we ni Me.....? daahKwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.
Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda kumtunza Mondi kiukweli pesa alitoa nyingi lakini kitu kilinishangaza ni kumkatikia Mondi kimahaba wakati mmiliki Tanasha yupo kwenye tukio na hakukuwa na ulazima wakufanya hivyo.Hawa macelebrities wa kike wanakwama wapi?jifunzeni kwa madam Rita ambae hakufanya mbwembwe zozote kwenye kumtunza Mondi lakini pia ni mama mwenye kujiheshimu.
Lulu Diva unafanyaje mambo ya ovyo Kama hayo wakati tukio nzima linatazamwa na watu wengi.Yaani ingekuwa ndo Mimi nafanyiwa Kama Mondi alafu mpenzi wangu yupo kwenye tukio shuhhuli ingeisha hapo hapo maana mpenzi wangu ana wivu uliopita ile mbaya kitendo tu Mimi kusalimiana na mwanake kwa mkono tu lazima aanzishe timbili.
Kwani hujui kama lulu diva ni mama laoWe ujanielewa kitendo alichofanya lulu diva si kizuri cos anamkatikia mondi ikiwa tanasha yupo kwani we uoni ni kitu kibaya
Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.
Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda kumtunza Mondi kiukweli pesa alitoa nyingi lakini kitu kilinishangaza ni kumkatikia Mondi kimahaba wakati mmiliki Tanasha yupo kwenye tukio na hakukuwa na ulazima wakufanya hivyo.Hawa macelebrities wa kike wanakwama wapi?jifunzeni kwa madam Rita ambae hakufanya mbwembwe zozote kwenye kumtunza Mondi lakini pia ni mama mwenye kujiheshimu.
Lulu Diva unafanyaje mambo ya ovyo Kama hayo wakati tukio nzima linatazamwa na watu wengi.Yaani ingekuwa ndo Mimi nafanyiwa Kama Mondi alafu mpenzi wangu yupo kwenye tukio shuhhuli ingeisha hapo hapo maana mpenzi wangu ana wivu uliopita ile mbaya kitendo tu Mimi kusalimiana na mwanake kwa mkono tu lazima aanzishe timbili.
Hata Kama ni mtu wake hakupaswa afanye vile mbele ya tanasha mfano mchepuko wako anakukatikia kimahaba alafu mbele ya mpenzi wako au mke wako hii inaleta picha gani? Lulu diva alitakiwa afanye sehemu nyingine ila sio pale.Watoa habar za udaku walisema luludiva ni chakula yake mondi
Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.
Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda kumtunza Mondi kiukweli pesa alitoa nyingi lakini kitu kilinishangaza ni kumkatikia Mondi kimahaba wakati mmiliki Tanasha yupo kwenye tukio na hakukuwa na ulazima wakufanya hivyo.Hawa macelebrities wa kike wanakwama wapi?jifunzeni kwa madam Rita ambae hakufanya mbwembwe zozote kwenye kumtunza Mondi lakini pia ni mama mwenye kujiheshimu.
Lulu Diva unafanyaje mambo ya ovyo Kama hayo wakati tukio nzima linatazamwa na watu wengi.Yaani ingekuwa ndo Mimi nafanyiwa Kama Mondi alafu mpenzi wangu yupo kwenye tukio shuhhuli ingeisha hapo hapo maana mpenzi wangu ana wivu uliopita ile mbaya kitendo tu Mimi kusalimiana na mwanake kwa mkono tu lazima aanzishe timbili.
Sikupenda wadada kushindana kutikisa makalio. Lengo la ile sherehe na kilichokua kinatendeka ilikua tofauti
Kwanza nampongeza Mondi na Tanasha kupata mtoto iliopekea kufanyika kwa arobaini ya mtoto. Kwa sisi tulioangalia kwenye tv sharehe ilikuwa nzuri kuanzia mapambo na mambo mengine.
Jambo ambalo honest sijafurahishwa nalo ni wakati kwenye kipengele cha utunzwaji wa Mondi ambapo Lulu Diva anaenda kumtunza Mondi kiukweli pesa alitoa nyingi lakini kitu kilinishangaza ni kumkatikia Mondi kimahaba wakati mmiliki Tanasha yupo kwenye tukio na hakukuwa na ulazima wakufanya hivyo.Hawa macelebrities wa kike wanakwama wapi?jifunzeni kwa madam Rita ambae hakufanya mbwembwe zozote kwenye kumtunza Mondi lakini pia ni mama mwenye kujiheshimu.
Lulu Diva unafanyaje mambo ya ovyo Kama hayo wakati tukio nzima linatazamwa na watu wengi.Yaani ingekuwa ndo Mimi nafanyiwa Kama Mondi alafu mpenzi wangu yupo kwenye tukio shuhhuli ingeisha hapo hapo maana mpenzi wangu ana wivu uliopita ile mbaya kitendo tu Mimi kusalimiana na mwanake kwa mkono tu lazima aanzishe timbili.
Ndo alikuwa anaonyeshwa Yale maunomtoto hushauliwa kutoka ne siku ya 40 toka alipozaliwa
ko watu wenye uwezo wao ndo huwafanyia hzo sherehe na hayo ni moja ya mambo atakayokutananayo ulimwenguni ko hapo alikuwa anaoneshwa tu yanayojiri huku nje
Hivi ni kweli mtoto aliyepatikana kwa zinaa [mwana haramu] hufanyiwa maulidi????mtoto hushauliwa kutoka ne siku ya 40 toka alipozaliwa