Hiki ndio sijapenda kwenye 40 ya mtoto wa Diamond

ONYO:ukiwa mtu wa maadili/dini usifuatilie mambo ya celebrities
 
Wewe hujapenda kama nani? au wewe ndio Tanasha mwenyewe?
 
Uliona wapi wa zinzi waka liana wivu.
 
kumbe we ni Me.....? daah
 
Sema habari kama hizi bila kusindikizwa na picha au kavideo huwa hazinogi....ningefurahi sana kuiona miuno ya hiyo mwanamwali.
 
Unahela wewe? Kama huna unahisi kuna wa kukukatikia?

Acha watu waishi maisha yao
 
Akikua ataacha....alisema hajafikisha hata twentiii...🙄🤣🤣🤣
 

Watoa habar za udaku walisema luludiva ni chakula yake mondi
 
Watoa habar za udaku walisema luludiva ni chakula yake mondi
Hata Kama ni mtu wake hakupaswa afanye vile mbele ya tanasha mfano mchepuko wako anakukatikia kimahaba alafu mbele ya mpenzi wako au mke wako hii inaleta picha gani? Lulu diva alitakiwa afanye sehemu nyingine ila sio pale.
 

Sikupenda wadada kushindana kutikisa makalio. Lengo la ile sherehe na kilichokua kinatendeka ilikua tofauti

Tunaomba hiyo video ya hizo mauno tafazalini
 

Fools paradise!
 
acha kumuonea wevu Lulu Diva, kama na wewe unataka nenda kamkatikie huyo Diamond.
 
Aiseee hadi lulu diva anaonewa wivu daah
 
mtoto hushauliwa kutoka ne siku ya 40 toka alipozaliwa
ko watu wenye uwezo wao ndo huwafanyia hzo sherehe na hayo ni moja ya mambo atakayokutananayo ulimwenguni ko hapo alikuwa anaoneshwa tu yanayojiri huku nje
Ndo alikuwa anaonyeshwa Yale mauno
 
mtoto hushauliwa kutoka ne siku ya 40 toka alipozaliwa
ko watu wenye uwezo wao ndo huwafanyia hzo sherehe na hayo ni moja ya mambo atakayokutananayo ulimwenguni ko hapo alikuwa anaoneshwa tu yanayojiri huku nje
Hivi ni kweli mtoto aliyepatikana kwa zinaa [mwana haramu] hufanyiwa maulidi????
Au ndiyo mambo ya siku hizi??? Huyo bwana Naseeb ana watoto karibia 5 na wote ni wa nje ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…