The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Aug 17, 2025 #1 GT Pengine watu huwa mnajiuliza ni kitu gani huwa kinalia kama funguo wakati lisu anajitetea mahakamani pale anapogonga meza. Basi leo nawanyosha ni YESU mfufuka aliyewakomboa watu kwa damu yake katika msalaba mtakatifu na kupitia yeye dhambi zetu zitasemehewa.
GT Pengine watu huwa mnajiuliza ni kitu gani huwa kinalia kama funguo wakati lisu anajitetea mahakamani pale anapogonga meza. Basi leo nawanyosha ni YESU mfufuka aliyewakomboa watu kwa damu yake katika msalaba mtakatifu na kupitia yeye dhambi zetu zitasemehewa.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Aug 17, 2025 #2 Eh sasa kwann huyo yesu mfufuka anapiga kelele?
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Aug 17, 2025 Thread starter #3 Mbaga Jr said: Eh sasa kwann huyo yesu mfufuka anapiga kelele? Click to expand... Your browser is not able to display this video.
Mbaga Jr said: Eh sasa kwann huyo yesu mfufuka anapiga kelele? Click to expand... Your browser is not able to display this video.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Aug 17, 2025 #4 Rais wa kweli yuko gerezani halafu aliyeokota urais kupitia kifo anakula amekalia kiti
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 2,393 Reaction score 8,594 Aug 17, 2025 #5 Lisu hata aingie mahakamani na bible, still ni Rational person haendeshwi na udini
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Aug 17, 2025 #6 The Burning Spear said: View attachment 3444490 Click to expand... Inasikitisha sana mkuu π
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Aug 17, 2025 #7 Moja Takatifu la Mitume
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Aug 17, 2025 Thread starter #8 johnthebaptist said: Moja Takatifu la Mitume Click to expand...
The Palm Beach JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 4,249 Reaction score 11,592 Aug 17, 2025 #9 The Burning Spear said: View attachment 3444490 Click to expand... Haa haaπππ Ume dramatise vizuri sana na ujumbe kufika sawia...
The Burning Spear said: View attachment 3444490 Click to expand... Haa haaπππ Ume dramatise vizuri sana na ujumbe kufika sawia...