OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Fikiria chama kinaweza kumpa mtu kesi ya kuua. Ili ahukumiwe kifo au jela maisha.
Fikiria chama hiki kinaweza kumpa mtu kesi ya ugaidi. Kikashirikiana na polisi na mwenyekiti wa hicho chama akatoka hadharani na kukazia kwamba wana ushahidi mtuhumiwa alipanga ugaidi.
Je, hiki chama kinaweza kujali maisha yako na ustawi wa taifa? Kinawezaje kujali hilo kama kinakosa hofu ya Mungu na kumpa mtu kesi ya mauaji au ugaidi?