Hiki ni chanzo

Hiki ni chanzo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Sababu ya watu wawil kujuana na kuanzisha uhusiano ni mikusanyiko au matukio mbalimbali. Kwa binafsi najua jf ndio sehemu pekee ya kumuona na kumjua yule ambaye nadhani yupo kwa ajil yangu. Haya wajameni mschana yeyote ambae atapenda kuwa na mwenye mapenz ya dhat anichek. But asiwe under 18 wala above 26. Nahtaj wa kufungua nae ukurasa wa mapenz usela nimeuchoka. Chek me 0718651585. Aman itawale
 
mwezi mtukufu huu haturuhusu mambo hayo ,
 
Wewe mbona unajina la kike? Au unataka kutapeli watu? Majina ya kiingereza yanayoishia na ...ess huwa yanawakilisha jinsia ya kike.
 
Bro-joe. Usijidanganye! Kwanza hlo co jna ila ni adress yangu humu jf. Mwenyewe naitwa ADAM B. Saut ya mamlaka, mbish wa ktaa. Ungekuwa wa kike unayeish dar ninge ku pm namba zangu halafu Uje uchek mlume ndago nlivo. Lastly. Hii ni kwa watoto wa kike. I'm a man in all reasons. Upo?
 
Back
Top Bottom