Kati ya story ninazopenda kusikia ni za majipu yaliyotumbuliwa. Hupenda kusikia walikua wapi, wanafanya nini na na taarifa waliipokeaji zaidi hupenda story hizo ziambatae na ka clip. Na kabla sijatumbua huwa nina hakikisha mtu atakayekuja kunisimulia yupo karibu na nitakayemtumbua.
Huwa ninaposimuliwa story za nilio watumbua huwa nacheka sana. Ndiyo maana haka kwangu no kamchezo tu hivyo naomba sana tuvumiliane ndugu watanzania.
Uongozi huja na stress nyingi sana hivyo sisi wajania huja na namna 6a kuzikabili hizo stress. Tumbua tumbua ndiyo therapy ninayoitumia kuendelea kudumu