Hiki ni kati ya vitu vinavyo sababisha nipende sana kuwatumbueni!!!

Hiki ni kati ya vitu vinavyo sababisha nipende sana kuwatumbueni!!!

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Kati ya story ninazopenda kusikia ni za majipu yaliyotumbuliwa. Hupenda kusikia walikua wapi, wanafanya nini na na taarifa waliipokeaji zaidi hupenda story hizo ziambatae na ka clip. Na kabla sijatumbua huwa nina hakikisha mtu atakayekuja kunisimulia yupo karibu na nitakayemtumbua.
Huwa ninaposimuliwa story za nilio watumbua huwa nacheka sana. Ndiyo maana haka kwangu no kamchezo tu hivyo naomba sana tuvumiliane ndugu watanzania.
Uongozi huja na stress nyingi sana hivyo sisi wajania huja na namna 6a kuzikabili hizo stress. Tumbua tumbua ndiyo therapy ninayoitumia kuendelea kudumu
 
Kinacho nisikitisha, ni jinsi Viroba vinavyo ruhusiwa huko kwenu wakati huku kwetu bado havija ruhusiwa
Mtambo upo pale makao makuu tester ni Charles kitwanga mhudumu ni January makamba,&Nape nauye mlinzi mwigulu nchemba
 
Back
Top Bottom