Hiki ni kielelezo cha jamii yetu ya Kitanzania, tabia na hulka zetu

Hiki ni kielelezo cha jamii yetu ya Kitanzania, tabia na hulka zetu

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
7,841
Reaction score
17,491
Wasalaam,

Niseme nimesikitishwa mno, tena kupita maelezo, mtu tuliyekuwa tunaheshimiana sanaa, tunaitana "wakuu", kila tunapokutana kwenye nyuzi hapa JF, "mkuu" ni nyingi, mkuu wangu akanipa mchongo wa kuwekeza mahali fulani huku akijinasibu kuwa yeye anakula mafao (millions) ya uwekezaji wake huku akinihusia na mimi niwekeze huko, "mkuu" tukabadilishana mawasiliano na kuanza kunimentor kwa ajili ya uwekezaji.

Mkuu akani-inspire sanaa cha kushangaza jana napita mitaa fulani humu JF namkuta mkuu kajawa na jazba kwa kukosa vocha ya bure zilizokuwa zikigaiwa huko kwenye huo uzi, mkuu anatokwa na maneno ya kulaani kabisa kwa kukosa vocha ya bure, niseme nimesikitishwa sana na wewe "mkuu", hivi najiuliza hata zile nondo za uwekezaji ulizokuwa unanipa ni za kweli mkuu?

Watanzania ni watu waongo waongo mno, kuanzia viongozi mpaka raia wake, sisi ni watu njaa njaaa sanaa kuanzia raia wa kawaida mpaka viongozi waandamizi na ndio maana watu wananunuliwa na kuhongwa kwenye chaguzi, viongozi wanasaliti na kuhama vyama vyao kwa ajili ya maslahi ya tumbo, masikini hazaminiki.

Na huu ndio uhalisia wa jamii zetu tunazoishi nazo huku mitaani.
Nisiwachoshe "wakuu"

Wasalaam,

"Everything is possible for those who believe" lets meet at the top, cheers 🥂.

Mla bata

München, Deutschland 🇩🇪.
 
Wasalaam,


Niseme nimesikitishwa mno, tena kupita maelezo, mtu tuliyekuwa tunaitana "wakuu", kila tunapokutana kwenye nyuzi hapa JF, "mkuu" ni nyingi, mkuu wangu akanipa mchongo wa kuwekeza mahali fulani huku akijinasibu kuwa yeye anakula mafao (millions) ya uwekezaji wake huku akinihusia na mimi niwekeze huko, "mkuu" tukabadilishana mawasiliano na kuanza kunimentor kwaajili ya uwekezaji.

Mkuu akaniinspire sanaa cha kushangaza jana napita mitaa fulani humu JF namkuta mkuu kajawa na jazba kwa kukosa vocha ya bure zilizokuwa zikigaiwa huko kwenye huo uzi, mkuu anatokwa na maneno ya kulaani kabisa kwa kukosa vocha ya bure, niseme nimesikitishwa sana na wewe "mkuu", hivi najiuliza hata zile nondo za uwekezaji ulizokuwa unanipa ni za kweli mkuu?


Watanzania ni watu waongo waongo mno, kuanzia viongozi mpaka raia wake, sisi ni watu njaa njaaa sanaa kuanzia raia wa kawaida mpaka viongozi waandamizi na ndio maana watu wananunuliwa na kuhongwa kwenye chaguzi, viongozi wanasaliti na kuhama vyama vyao kwaajili ya maslahi ya tumbo, masikini hazaminiki.

Na huu ndio uhalisia wa jamii zetu tunazoishi nazo huku mitaani.
Nisiwachoshe "wakuu"

Wasalaam,

Mla Bata.
Hahahahaha, Hahahahaha, Wakuu mmeangushana
 
Screenshot_20240813-151356_1.jpg
 
Back
Top Bottom