Ningetaka kufahamu hizo vocha thamani yake ilizidi hata 10K kweli?Hapana, sijawahi kumuona "mkuu" akiwa na jazba la namna ile, ni dhahiri kukosa vocha ya bure kulimkwaza sana mkuu.
Nadhani ilikuwa na thamani ya "afu tano" wakuu wakajaa na kuanza kukanyagana kugombania.Ningetaka kufahamu hizo vocha thamani yake ilizidi hata 10K kweli?
Maana dah,Greet Thinkers kuchezeshwa lottery kwa vocha ya buku ni mtihani sana inabidi popote walipo wajipige pige vifuani waseme sisi ni wazimu!
Dah siyo poa!!!Nadhani ilikuwa na thamani ya "afu tano" wakuu wakajaa na kuanza kukanyagana kugombania.
malofa wabarikiwe sanaAnarudisha kwa jamii, sio jambo baya.
Sanaaa mkuu, nimebubujikwa na machozi kama Lucas MwashambwaInasikitisha 😅😅
Ipo haja ya kuwaambia wanao (kila mtu amfunze mwanae) kuwa msaada sio haki yake , na asiishi kutegemea huruma ya mtu atafute chake ,hii itamfanya awe huru na ati ya kutafuta chake. Kilicho halali kwake ni kile alichotafta yeyeSanaaa mkuu, nimebubujikwa na machozi kama Lucas Mwashambwa
Nimesikitishwa sana kuona baadhi ya wanàume wenzetu wakikanyagana na kulaaniana kwa kugombea vocha za bure kutoka kwa mwanamama humu JF taasisi ya kinababa inadharirika mno, tumefeli kama wanaume, hali ni mbaya mno, tusipokemea hizi tabia tutegemee kuwa na kizazi Cha hovyo na cha kupenda mtelemko, dezo, kitonga na kila aina ya tabia zisizo za uwajibikaji, tuungane kwa pamoja kukemea hizi tabia kwa manufaa ya kizazi chetu.Ipo haja ya kuwaambia wanao (kila mtu amfunze mwanae) kuwa msaada sio haki yake , na asiishi kutegemea huruma ya mtu atafute chake ,hii itamfanya awe huru na ati ya kutafuta chake. Kilicho halali kwake ni kile alichotafta yeye
Haikuwa na haja ya kulaani ama kulalamika ule ulikuwa ni msaada hakubahatika basi , shida ni pale mtu anapotarajia kupata bure halafu akakosa na jirani yake kapata, any way tunatofautiana wakuu tuvumilianeNimesikitishwa sana kuona baadhi ya wanàume wenzetu wakikanyagana na kulaaniana kwa kugombea vocha za bure kutoka kwa mwanamama humu JF taasisi ya kinababa inadharirika mno, tumefeli kama wanaume, hali ni mbaya mno, tusipokemea hizi tabia tutegemee kuwa na kizazi Cha hovyo na cha kupenda mtelemko, dezo, kitonga na kila aina ya tabia zisizo za uwajibikaji, tuungane kwa pamoja kukemea hizi tabia kwa manufaa ya kizazi chetu.
Mla Bata
Watanzania ni watu waongo waongo mno, kuanzia viongozi mpaka raia wake