kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
hawawezi kugundua maana hata wao n mulugo stylish speakers.
Nawe unaamini wamekosea?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawawezi kugundua maana hata wao n mulugo stylish speakers.
Ukiongea kingereza na Mtanzania mwenzako kiukweli ni tabu sana maana anataka kuonyesha anajua na kukukosoa kila unapokosea na kukucheka. Nimefanya kazi na Wazungu hasa Waingereza hawana muda wa kukukosoa lakini utajifunza tu kutoka kwao kama unaakili ya kufikiria kwasababu ulichokosea baadae yeye anaweza kuongea na ukajua kumbe mimi nilikosea. Jamani watanzania tunajifunza kiingereza kama lugha ya kigeni na siyo lugha ya kuzaliwa nayo. Kazi kubwa ya Lugha ni ili wazungumzaji waweze kuelewana na suala la ufasaha wa lugha ni lingine.
ha ha ha si ndio tigo hao jamani yaani namba inaongea hapo lolha ha ha ha ha ha ha ha ha,na wewe kumbe mkali, does not.........answered!
Acha kiingereza,hata kiswahili mbona tunakosea sana?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nimempigia mtu simu voda to tigo, nikapata ujumbe huu "namba unayopiga haipokelewi, the number you have dialled does not answer".
Sasa wataalamu wa lugha hiyo does not answer ni sawa? Maana kwangu haijakaa vizuri.