Hiki ni kipimo kilichothibitishwa na TBS, ukitumia kipimo hiki utajua kuwa mwanamke anakupenda au anakuona ndezi(hakupendi)

Hiki ni kipimo kilichothibitishwa na TBS, ukitumia kipimo hiki utajua kuwa mwanamke anakupenda au anakuona ndezi(hakupendi)

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Mpange demu au mchumba wako mukutane mahali fulani, aidha kwake au popote pale. Ukikaribia kufika mahali alipo kwa kuchelewa mpigie simu na kumwambia hivi "Mpenzi wangu daaah hapa nimevurugwa sijui hata la kufanya, nikitoka home nimebeba nauli tu nilijua nitatoa fedha kwenye ATM machine, kumbe kadi nimeisahau home. Sasa sijui niende home nije tena haraka au nirudi tukutane siku nyingine?".
Akikujibu majibu haya mawili jua kuwa unafanywa lofa na hakupendi;
1. Rudi kachukue kadi uje mda unatosha.
2. Tuonane siku nyingine basi.
Akikujibu jibu Njoo tu takupa nauli ya kurudi kwenu au njoo tu kama nauli ya kurudia unayo mpenzi huyo LA haraka ni wife material, mtafanikiwa maishani.
 
Back
Top Bottom