Hiki ni kipindi ambacho nchi inanuka Rushwa kupita vipindi vyote hapo nyuma.

Hiki ni kipindi ambacho nchi inanuka Rushwa kupita vipindi vyote hapo nyuma.

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Yes,nimefanya tafiti za rushwa kwa kipindi kirefu sana tangu nikiwa chuo kupitia clubs za TAKUKURU,na baadae nikijitegemea.

Kipindi hiki rushwa imekuwa ni mfupa mgumu kwa TAKUKURU.

RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe kanisani ama msikitini nk rushwa inatembea kwa kigezo cha zawadi.

Ukiondoa rushwa ya fedha Kuna rushwa ya vyeo ambayo mtu utunukiwa kwa lengo la kutekeleza mpango flani, hii ipo katika vyombo vya dola sana kama jeshi la polisi.

Nafikiri uchaguzi wa mwaka huu ndio utakao vunja rekodi ya kutawaliwa na rushwa.
 
Yes,nimefanya tafiti za rushwa kwa kipindi kirefu sana tangu nikiwa chuo kupitia clubs za TAKUKURU,na baadae nikijitegemea.

Kipindi hiki rushwa imekuwa ni mfupa mgumu kwa TAKUKURU.

RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe kanisani ama msikitini nk rushwa inatembea kwa kigezo cha zawadi.

Ukiondoa rushwa ya fedha Kuna rushwa ya vyeo ambayo mtu utunukiwa kwa lengo la kutekeleza mpango flani,hii ipo katika vyombo vya dola sana kama jeshi la polisi.

Nafikiri uchaguzi wa mwaka huu ndio utakao vunja rekodi ya kutawaliwa na rushwa.
RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe kanisani ama msikitini nk rushwa inatembea kwa kigezo cha zawadi.📌🔨❗
 
Dawaaa yakupunguzaaa rushwaa Kwa watanzia woteeeeeeeee n hiiii hapaa km tukiamuaaaaa
FB_IMG_1749799584761.jpg
 
Hawataki kuambiwa ukweli, tukisema wanataka kututeka, wanatutishia kututimua vyuo, mara watuteke..

Jamani hii nchi ni yetu sote, sio kikoba cha familia zenu.
 
Chama Cha Majangiri kifupi CCM kinatakiwe kife ili tuwe na vyama vyenye usawa na haki katika kufanya shughuri zao
 
RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe kanisani ama msikitini nk rushwa inatembea kwa kigezo cha zawadi.📌🔨❗
Inaniumiza sana,TAKUKURU hawana cha kufanya sababu wafanyayo hayo ni either waliowapa nyadhifa au walio jirani na wale waliowapa nyadhifa.
 
Back
Top Bottom