TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe kanisani ama msikitini nk rushwa inatembea kwa kigezo cha zawadi.ππ¨βYes,nimefanya tafiti za rushwa kwa kipindi kirefu sana tangu nikiwa chuo kupitia clubs za TAKUKURU,na baadae nikijitegemea.
Kipindi hiki rushwa imekuwa ni mfupa mgumu kwa TAKUKURU.
RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe kanisani ama msikitini nk rushwa inatembea kwa kigezo cha zawadi.
Ukiondoa rushwa ya fedha Kuna rushwa ya vyeo ambayo mtu utunukiwa kwa lengo la kutekeleza mpango flani,hii ipo katika vyombo vya dola sana kama jeshi la polisi.
Nafikiri uchaguzi wa mwaka huu ndio utakao vunja rekodi ya kutawaliwa na rushwa.
Inaniumiza sana,TAKUKURU hawana cha kufanya sababu wafanyayo hayo ni either waliowapa nyadhifa au walio jirani na wale waliowapa nyadhifa.RUSHWA inatendeka waziwazi mchana kweupe tena na viongozi wakuu wa kiserikali ,kila jambo na kila sehemu iwe kanisani ama msikitini nk rushwa inatembea kwa kigezo cha zawadi.ππ¨β
Napata tabu sana na hili taifa.Hawataki kuambiwa ukweli, tukisema wanataka kututeka, wanatutishia kututimua vyuo, mara watuteke..
Jamani hii nchi ni yetu sote, sio kikoba cha familia zenu.
Absolutely π―This's peak corruption season.