Hiki ni kitu gani wakuu?

Vimewekwa vingi sana Highway ya Dar kuelekea mikoani
Camera za traffic hizo, zimewekwa maeneo yenye 50KH. Yani zikianza kufanya kazi na ukifanya kosa hilo eneo unalambwa fine automatic na utatumiwa control number kama ilivyo kwenye packing. Hata njia ya Dom - Arusha vipo vya kutosha.
 
Nashukuru sana Mkuu naona wamekuja kivingine
 
Naambatanisha picha, hivi vifaa naviona vingi huko highways, ni vitu gani kazi yake nini?View attachment 3185101
Speed Cameras.

Kwenye nchi za wenzetu ambako wameendelea zaidi camera za namna hiyo katika Highways zinakuwa zina matumizi mengi zaidi ya kupima mwendo wa magari, ni Multi-purpose Cameras. Kazi zake zinaweza kuwa:-
1. Speed Camera for traffic movements.
2.Security Cameras for Surveillance systems.
3. Cameras for Car Tracking and Tracings purposes, etc., etc.
4. Camera for Traffic/Car Geo-fencing purposes.
5. Becon Locators for Roads and/or Streets identify systems, Post Codes or Area Codes, etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…