Hiki ni kitu gani?

Hiki ni kitu gani?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Wajuvi naomba kuelewa maana sielewi baada ya kukagua dirisha la vioo nikakuta hiki

IMG_0128.jpg
 
Kipi hicho?

Hiyo W1?
Hii ni alama za dirisha wanapotengeneza fundi. Kila dirisha wanaweka alama kwa kuwa zinatofautiana vipimo.

Hivyo vidudu?
Nadhani kwa sababu ni nyakati za mvua, wadudu hutafuta sehemu pa kujificha na kupata ujoto ujoto.

Wewe unaona nini?
Kwa sababu kwenye picha haionekani vizuri. Usijipe pressure ya kuamini katika upuuzi wa uganga na umajinuni.
 
😂😂😂
Seriously, you're asking about that😳
 
Nenda kamuulize fundi aliyekutengenezea dirisha nyau wewe, sehemu zozote za maungio lazima fundi aweke alama ili wakati wa kuunga asipate tabu

[emoji867][emoji527] kuuliza sio ujinga
 
Back
Top Bottom