Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
IMG_20230315_112933.jpg
IMG_20230315_112930.jpg
IMG_20230315_112925.jpg
 
Hapana!Ni maji ya mvua

Nawafahamu ila jina hapana. Wanapenda kukaa hasa kwenye mabwawa-maji yaliyotuama muda mrefu. Nafikiri ndio wapo hivyo na siyo one of the stages to adult.
 
Ni kama funza vile ila hubadilika na kuwa nzi anaefanana na nyuki ila hawana madhara wala hawaumi

Wanaitwa Rat tail maggot hao
Na wanakuwa Drone fly sijui kwa kiswahili ila wana biologic watatusaidia naona
Screenshot_20230318_090804_Google.jpg
 
Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
Labda nifafanue kitu,ni kwamba leo mvua imenyesha hapa nilipo nikaweka vyombo nje ili kuvuna maji hayo.Nikashangaa ndani ya maji nikakuta vitu hivyo
 
Wachawi hao….Halafu bado kuna watu hawaamini Mungu
 
Si wamepigwa na mvua ,huenda walikua wanapita.maji yana nguvu kuliko breakdown
 
Back
Top Bottom