GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.
Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?
Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.
Nawasilisha.