Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Hujawahi kuona hata Mpambe wa Rais wetu alikuwa anabeba briefcase 💼 tajwa? Jaribu kufuatilia picha Z nyuma kidogo.

Kumuelewa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE hasa kwa ' Mabandiko ' yake hapa Jamvini / Jukwaani JamiiForums yakupasa utulize Kwanza akili zako, utafakari na uhakikishe kuwa ' Upstairs ' zimekutosha kabisa na zipo kamili. Siku zingine ukiona tu nimeanzisha ' Mada ' acha Kwanza kuharakisha ' Kukurupuka ' nazo na kuwahi Kujizibu bali jitulize Kwanza. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Ok thanks
 
Yahitaji muda na akili kubwa sana kujua nn ameandika katika uzi huu... TAFAKARI

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha ha ha ha ha.....Mkuu bhana! Na nashukuru Wewe kuwa mmoja wa Watu makini mno hasa kwa ' Mabandiko ' yangu na nina uhakika kwa uwezo wako mkubwa na mzuri wa ' IQ ' hapa utakuwa umeshajua nimemaanisha nini, nalenga nini na naelekea wapi. Ila nakuomba baki hivyo hivyo Kimya. Nilijua tu kuwa ' Majiniasi ' wachache kama Wewe mngenielewa upesi kama siyo haraka sana tu. Uko vizuri na nimekukubali.
 
Nadhani ulinzi wa Rais ni siri na Yale ma briefcase wanabeba walinzi wa Mhe JPM ni siri yao, ingawa sijui kwanini nchi zilizo endelea hawabebi!!
Mambo mengine nikifuatilia ni kuongeza stress tu, Mie nikiwa salama na huru kufanya shughuli zangu inatosha!!
 
Watu wetu wa usalama wa mkuu,wajipange kisasa zaidi, inaleta hofu na si salama kwa namna ile inaongeza risk, Kuna siku itatokea hata baruti wale jamaa wataharibu sana.
Hawapaswi Wenye silaha zile kuwa close range ya mkuu within 50M-100m; ( Attacker wataanza na hao visible wakiwa mbali say 200M!)Zipo silaha ndogo hidden zinawetumika na watu smart in suits karibu na mkuu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ulinzi wa Rais ni siri na Yale ma briefcase wanabeba walinzi wa Mhe JPM ni siri yao, ingawa sijui kwanini nchi zilizo endelea hawabebi!!
Mambo mengine nikifuatilia ni kuongeza stress tu, Mie nikiwa salama na huru kufanya shughuli zangu inatosha!!

Kuna mahala popote pale katika huu ' Uzi ' wangu ama umemtaja Rais Dkt. Magufuli au Kikosi chake cha Ulinzi? Hivi ni kwanini baadhi ya Watanzania mnakuwa na tabia za ' Kike Kike ' za kuwa na Kiherehere kama siyo Kimbelembele? Tena nimeweka hapo juu hadi mifano ya Nchi ambazo Marais wake Walinzi wao wanabeba hizo ' Briefcases ' je umeona nimeitaja hapo Tanzania? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibu Kunya / Hovyo / Shombo halafu mnalalamika.
 
Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.

Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?

Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.

Nawasilisha.
Weka picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kwanza lazima ujue kilichoko kwenye briefcase ya USA ni tofauti na kile kilichoko kwenye briefcase ya Zimbabwe ila kilichoko kwenye briefcase ya Korea kipo sawa na kile kilichoko kwenye briefcase ya USA ila pia kilichoko kwenye briefcase ya Urusi kinaelekea kufanana kwa mbali na kile cha Uchina.

Yaezekana baada ya uchaguzi wa 2020 na hapa kwetu tukakiona kilicho sawa na Zimbabwe ama S.Africa mana ndege mjanja hukimbiza mbawa zake ama kuzungusha macho yake kila pande kuhakikisha yupo salama.

Lakini kuelezwa kwa kina inahitajika zaidi ya pge kadhaa hivi ili uelewa uwepo katika hayo mabriefcase

Aisee we jamaa ni mwanafalsafa wa kupindukia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu wetu wa usalama wa mkuu,wajipange kisasa zaidi, inaleta hofu na si salama kwa namna ile inaongeza risk, Kuna siku itatokea hata baruti wale jamaa wataharibu sana.
Hawapaswi Wenye silaha zile kuwa close range ya mkuu within 50M-100m; ( Attacker wataanza na hao visible wakiwa mbali say 200M!)Zipo silaha ndogo hidden zinawetumika na watu smart in suits karibu na mkuu .

Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba wewe unajua sana mambo ya kiulinzi kuliko jopo zima la ulinzi wa rais!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwaje na nani ambaye anaidhibiti kuanzia hapo eneo la tukio hadi hadi Chumba husika na yanauzwa Kiasi gani na mwenye Kubeba anatakiwa awe na ujuzi gani? Na kwanini Walinzi wa Tanzania wa Rais nao wasiwe nayo? Nitashukuru ukinijibu haya Maswali yangu mawili na muhimu sana Mkuu kwani unaonekana Wewe kwa haya mambo ni ' Nguli ' kabisa hivyo nitafaidika na hata kujifunza mengi kutoka Kwako.
Mbona walinzi wa Raisi jpm wanazo hizo briefcase hizo unazosema wanabeba wawili angalia tukio la upokeaji wa ndege mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom