Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Hujawahi kuona hata Mpambe wa Rais wetu alikuwa anabeba briefcase 💼 tajwa? Jaribu kufuatilia picha Z nyuma kidogo.

Kumuelewa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE hasa kwa ' Mabandiko ' yake hapa Jamvini / Jukwaani JamiiForums yakupasa utulize Kwanza akili zako, utafakari na uhakikishe kuwa ' Upstairs ' zimekutosha kabisa na zipo kamili. Siku zingine ukiona tu nimeanzisha ' Mada ' acha Kwanza kuharakisha ' Kukurupuka ' nazo na kuwahi Kujizibu bali jitulize Kwanza. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Ok thanks
 
Yahitaji muda na akili kubwa sana kujua nn ameandika katika uzi huu... TAFAKARI


Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha ha ha ha ha.....Mkuu bhana! Na nashukuru Wewe kuwa mmoja wa Watu makini mno hasa kwa ' Mabandiko ' yangu na nina uhakika kwa uwezo wako mkubwa na mzuri wa ' IQ ' hapa utakuwa umeshajua nimemaanisha nini, nalenga nini na naelekea wapi. Ila nakuomba baki hivyo hivyo Kimya. Nilijua tu kuwa ' Majiniasi ' wachache kama Wewe mngenielewa upesi kama siyo haraka sana tu. Uko vizuri na nimekukubali.
 
Nadhani ulinzi wa Rais ni siri na Yale ma briefcase wanabeba walinzi wa Mhe JPM ni siri yao, ingawa sijui kwanini nchi zilizo endelea hawabebi!!
Mambo mengine nikifuatilia ni kuongeza stress tu, Mie nikiwa salama na huru kufanya shughuli zangu inatosha!!
 
Watu wetu wa usalama wa mkuu,wajipange kisasa zaidi, inaleta hofu na si salama kwa namna ile inaongeza risk, Kuna siku itatokea hata baruti wale jamaa wataharibu sana.
Hawapaswi Wenye silaha zile kuwa close range ya mkuu within 50M-100m; ( Attacker wataanza na hao visible wakiwa mbali say 200M!)Zipo silaha ndogo hidden zinawetumika na watu smart in suits karibu na mkuu .


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna mahala popote pale katika huu ' Uzi ' wangu ama umemtaja Rais Dkt. Magufuli au Kikosi chake cha Ulinzi? Hivi ni kwanini baadhi ya Watanzania mnakuwa na tabia za ' Kike Kike ' za kuwa na Kiherehere kama siyo Kimbelembele? Tena nimeweka hapo juu hadi mifano ya Nchi ambazo Marais wake Walinzi wao wanabeba hizo ' Briefcases ' je umeona nimeitaja hapo Tanzania? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwajibu Kunya / Hovyo / Shombo halafu mnalalamika.
 
Weka picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee we jamaa ni mwanafalsafa wa kupindukia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwamba wewe unajua sana mambo ya kiulinzi kuliko jopo zima la ulinzi wa rais!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona walinzi wa Raisi jpm wanazo hizo briefcase hizo unazosema wanabeba wawili angalia tukio la upokeaji wa ndege mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…