Ingekuwa vyema member wengine kukuzungumzia hivyo na si kujizungumzia hivyo.Kumuelewa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE hasa kwa ' Mabandiko ' yake hapa Jamvini / Jukwaani JamiiForums yakupasa utulize Kwanza akili zako, utafakari na uhakikishe kuwa ' Upstairs ' zimekutosha kabisa na zipo kamili. Siku zingine ukiona tu nimeanzisha ' Mada ' acha Kwanza kuharakisha ' Kukurupuka ' nazo na kuwahi Kujizibu bali jitulize Kwanza. Naomba niishie hapa tafadhali.

Yupi hana Askari?Kama kweli Jiwe anapendwa na analindwa kwa nguvu ya maombi "ya mniombee" mbona kajaza askari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi unachouliza kilishajadiliwa hapa mkuu👇👇
https/www.jamiiforums.com/threads/lijue-briefcase-liitwalo-the-football-la-u-s-a.1532444/
Unatakiwa ujue kuwa popote pale USA president anapokuwa,lazima na hiyo briefcase ya nuclear code iwepo!Hili lipo marekani tu na ni siri aliwagi live.
Ingekuwa vyema member wengine kukuzungumzia hivyo na si kujizungumzia hivyo.
Kama umetaka kweli kujua tu, ile briefcase inamsaidia rais kuweza ku launch nuke popote alipo ikiwa yupo nje ya launching centre.Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.
Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?
Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.
Nawasilisha.
Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.
Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?
Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.
Nawasilisha.
Gentamycine:zile zinabeba mrungula ya kuwatunuku waliodondokewa na ngeks, sana sana katika zama hizi za Msema kweli ni mpenzi wa MunguWewe kinakuumiza nini? Swine!
Wale swissguard ni balaa
eeeh Ujue ni zile dume
Guard, or just Swiss Guard; Latin: Pontificia Cohors Helvetica or Cohors Pedestris Helvetiorum a Sacra Custodia Pontificis; Italian: Guardia Svizzera Pontificia; German: Päpstliche Schweizergarde; French: Garde suisse pontificale) is a small force maintained by the Holy See that is responsible for the safety of the Pope, including the security of the Apostolic Palace. The Swiss Guard serves as the de facto military of Vatican City. Established in 1506 under Pope Julius II, the Pontifical Swiss Guard is among the oldest military units in continuous operation.[2]
Hujamwelewa genta wewe kifupi hapo anaongelewa jiwe maana siku hizi security detail yake inabeba hayo makituHujawahi kuona hata Mpambe wa Rais wetu alikuwa anabeba briefcase 💼 tajwa? Jaribu kufuatilia picha Z nyuma kidogo.
Acha uongo Olaf palme alichomwa kisu sio risasiHata Rais Magufuli angependwa kwa 99.99% katika kundi la 00.01% kuna wanao mchukia. Olaf Palme, Waziri Mkuu kipenzi cha wengi Sweden aliuawa kwa risasi kwenye mitaaa ya Stockholm wakati akitembea kwenda senema pamoja na mke wake. Tangu wakati huo ulinzi wa viongozi Sweden umebadilika.
P. O. P. O. M. AHa ha ha ha ha ha ha ha....Mkuu hii ' post ' yako imenifanya nicheke hadi Abiria Wenzangu wa DalaDala ya Gongo la Mboto Ubungo SIMU 2000 wamenishangaa na baadae na Wao wakawana wananisindikiza Kucheka na sasa tunacheka wote hapa. Shikamoo JamiiForums ndiyo maana niko radhi nikose vitu vyote ila siyo huu Mtandao wangu ' pendwa ' kwani hapa kuna ' Vituko ' vingi sana tu kutoka kwa ' Members ' mbalimbali.
Pope ni pope(binadamu tu kama wewe anakula na Ku.ya)huyo mwingine ni malaika mkuu (malaika Gabriel,) hivyo hawana ufanamo wowote😀😀kama baba mtakatifu (Pope) anaulinzi sembuse jpm
Avatar na jina lako havifanani na majibu yako, https://jamii.app/JFUserGuide you GENTAMYCINE.Wewe kinakuumiza nini? Swine!
Avatar na jina lako havifanani na majibu yako, **** you GENTAMYCINE.