Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Hiki ninachokiona mara kwa mara kwa Vikosi vya Ulinzi vya Marais ( siyo wa Tanzania ) huwa ni Kitu gani?

Kumuelewa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE hasa kwa ' Mabandiko ' yake hapa Jamvini / Jukwaani JamiiForums yakupasa utulize Kwanza akili zako, utafakari na uhakikishe kuwa ' Upstairs ' zimekutosha kabisa na zipo kamili. Siku zingine ukiona tu nimeanzisha ' Mada ' acha Kwanza kuharakisha ' Kukurupuka ' nazo na kuwahi Kujizibu bali jitulize Kwanza. Naomba niishie hapa tafadhali.
Ingekuwa vyema member wengine kukuzungumzia hivyo na si kujizungumzia hivyo.
 
Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.

Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?

Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.

Nawasilisha.
Kama umetaka kweli kujua tu, ile briefcase inamsaidia rais kuweza ku launch nuke popote alipo ikiwa yupo nje ya launching centre.
Ila kama ndio zile maada zako za kufikiria nje ya box, basi subiri jamaa wajuzi wa mambo waje.
 
Write your reply...kila nchi huwa na utaratibu wake wa kiulinzi tusipende kuigaiga kila kitu.
 
Picha muhimu
Sijajua kama na hapa Tanzania na nina uhakika wa 100% kuwa hakipo kwamba kwa Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia mno nikiwaona Walinzi wa Marais wa Marekani, China, Korea Kaskazini, Urusi, Zimbabwe, Afrika Kusini ndani yao ( hao Walinzi ) utaona kuwa ama Mtu mmoja au Watu wawili hivi wanakuwa wamebeba ' Briefcase ' na muda mwingi wanakuwa nazo makini mno.

Je naomba kuwaulizeni zile ' Briefcases ' wanazobeba wale Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu huwa zinakuwa na nini ndani yake? Na kwanini hata hao Wabebaji wake muda wote macho yao kwa 100% huwa wanayaelekeza Kuanzia Viunoni hadi Miguuni mwa hao Marais na huwa wanatembea hatua / mwendo sawa na ambao wanatembea hao Marais?

Kama huo Ubebaji wa hizo ' Briefcases ' hasa kwa Ulinzi wa Marais huwa una ' tija ' basi na Mimi GENTAMYCINE ningependa sana na ningefarijika mno Siku moja nami nikiwaona Walinzi wa Rais wangu wa Tanzania nao wakiwa wamebeba kwani kiukweli huwa inapendeza na inaleta raha fulani ukiwaona wakiwa wameyabeba huku wakiwa ' watanashati ' na Watu wenye umakini na wako Kikazi zaidi. Naamini hizo ' Briefcases ' walizonazo hao Walinzi wa Marais wa nchi Tajwa hapo juu hazina gharama Kubwa kivile hivyo hata Sisi Tanzania tunaweza Kuthubutu pia Kuwanunulia Walinzi wa Rais wetu nao wakawa nayo ili wafanane na wa hizo nchi.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swiss na pope wap na wap

Sent using Jamii Forums mobile app
Guard, or just Swiss Guard; Latin: Pontificia Cohors Helvetica or Cohors Pedestris Helvetiorum a Sacra Custodia Pontificis; Italian: Guardia Svizzera Pontificia; German: Päpstliche Schweizergarde; French: Garde suisse pontificale) is a small force maintained by the Holy See that is responsible for the safety of the Pope, including the security of the Apostolic Palace. The Swiss Guard serves as the de facto military of Vatican City. Established in 1506 under Pope Julius II, the Pontifical Swiss Guard is among the oldest military units in continuous operation.[2]

Pontifical Swiss Guard

Banner of the Pontifical Swiss Guard of Pope Francis under the command of Christoph Graf(2015 to present)[1]

Active22 January 1506 – present (513 years)Country

Vatican City Papal States

AllegiancePope FrancisBranchArmyTypeFoot GuardsRoleClose ProtectionSize135 menGarrison/HQVatican CityPatron

Ignatius of LoyolaMartin of ToursSaint SebastianNicholas of Flüe

Motto(s)"Acriter et Fideliter"
Fiercely and FaithfullyColorsRed, Yellow & BlueEngagements

War of Urbino (1517)Sack of Rome (1527)Battle of Lepanto (1571)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawahi kuona hata Mpambe wa Rais wetu alikuwa anabeba briefcase 💼 tajwa? Jaribu kufuatilia picha Z nyuma kidogo.
Hujamwelewa genta wewe kifupi hapo anaongelewa jiwe maana siku hizi security detail yake inabeba hayo makitu

Gentamycine ni mjanja Sana kwacc tunaomjua tunamwelewa mwandiko wake na akimaanishacho
 
Hata Rais Magufuli angependwa kwa 99.99% katika kundi la 00.01% kuna wanao mchukia. Olaf Palme, Waziri Mkuu kipenzi cha wengi Sweden aliuawa kwa risasi kwenye mitaaa ya Stockholm wakati akitembea kwenda senema pamoja na mke wake. Tangu wakati huo ulinzi wa viongozi Sweden umebadilika.
Acha uongo Olaf palme alichomwa kisu sio risasi
 
P
Ha ha ha ha ha ha ha ha....Mkuu hii ' post ' yako imenifanya nicheke hadi Abiria Wenzangu wa DalaDala ya Gongo la Mboto Ubungo SIMU 2000 wamenishangaa na baadae na Wao wakawana wananisindikiza Kucheka na sasa tunacheka wote hapa. Shikamoo JamiiForums ndiyo maana niko radhi nikose vitu vyote ila siyo huu Mtandao wangu ' pendwa ' kwani hapa kuna ' Vituko ' vingi sana tu kutoka kwa ' Members ' mbalimbali.
P. O. P. O. M. A
 
Avatar na jina lako havifanani na majibu yako, **** you GENTAMYCINE.

Hilo ' Tusi ' ulilonitukana hapo ndiyo ' Starehe ' kubwa ya ' Babaako ' Mzazi na ndiyo ' Shimo ' hilo hilo ' ulilopenyea ' kuja duniani. Pumbavu.
 
Back
Top Bottom