Dunia ina mambo, mambo yenye viwango
Dunia ni tufe, tufe lenye sifongo
Dunia ni ya walimwengu, walimwengu warongo
Yakikukuta ya dunia, utaomba kulamba udongo
Mama kutoa K kuzinifu, mtoto kuzaliwa mzinifu
Baba kuoa mzinifu, naye kaangukia uzinifu
Mfanyabiashara mzinifu, matokeo yake yanamzengua
Dunia tambara bovu, Temeke mpaka Maswa utaikuta