nimharibiwa siku yangu yote, asubuhi wakati naenda kazini nikaona niingie sheli tabata kujaza mafuta, wakati nataka kutoka barabarani basi la wafanyakazi la polisi lenye namba PT 0242 likiwa naabiria ambao naamini wote ni askari, likawa linataka kuingia sheli basi mimi nikarudi nyuma nilipishe lipite chaajabu badala ya kupita kule nilikoacha nafasi kubwa akaja pita nilipo mimi akanikwangua hasaaa kiasi kwamba mlango wa gari haufunguki vivuri, nikamsimamisha lakini hakutaka kusimama akaja trafiki nikwamwelezea akanambia karipoti central, nikachoma mafuta mpaka central lol, nilichoambulia ni kuzungushwa eti niende kushtaki wizarani jamani, mwingine akanambia rudi huko huko tabata eneo la tukio, mwisho wa siku hakuna kilichofanyika, wao ndo wa kwanza kusema eti tutii sheria bila shuruti kweli, kwa mfao huu nani atatii sheria kama wao ndo wakwanza kuvunja sheria? kwakuwa mimi ni mtu mdogo baba yangu mkulima tu niamua kuacha tu.