Hiki walichonifanyia polisi ni haki?

Hiki walichonifanyia polisi ni haki?

Mocrana

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
536
Reaction score
122
nimharibiwa siku yangu yote, asubuhi wakati naenda kazini nikaona niingie sheli tabata kujaza mafuta, wakati nataka kutoka barabarani basi la wafanyakazi la polisi lenye namba PT 0242 likiwa naabiria ambao naamini wote ni askari, likawa linataka kuingia sheli basi mimi nikarudi nyuma nilipishe lipite chaajabu badala ya kupita kule nilikoacha nafasi kubwa akaja pita nilipo mimi akanikwangua hasaaa kiasi kwamba mlango wa gari haufunguki vivuri, nikamsimamisha lakini hakutaka kusimama akaja trafiki nikwamwelezea akanambia karipoti central, nikachoma mafuta mpaka central lol, nilichoambulia ni kuzungushwa eti niende kushtaki wizarani jamani, mwingine akanambia rudi huko huko tabata eneo la tukio, mwisho wa siku hakuna kilichofanyika, wao ndo wa kwanza kusema eti tutii sheria bila shuruti kweli, kwa mfao huu nani atatii sheria kama wao ndo wakwanza kuvunja sheria? kwakuwa mimi ni mtu mdogo baba yangu mkulima tu niamua kuacha tu.
 
kesi ya wizi unaenda kumpelekea jambazi.ndio maana mmoja jana amepigwa na kitu chenye ncha kali.i hate those police
 
nimharibiwa siku yangu yote, asubuhi wakati naenda kazini nikaona niingie sheli tabata kujaza mafuta, wakati nataka kutoka barabarani basi la wafanyakazi la polisi lenye namba PT 0242 likiwa naabiria ambao naamini wote ni askari, likawa linataka kuingia sheli basi mimi nikarudi nyuma nilipishe lipite chaajabu badala ya kupita kule nilikoacha nafasi kubwa akaja pita nilipo mimi akanikwangua hasaaa kiasi kwamba mlango wa gari haufunguki vivuri, nikamsimamisha lakini hakutaka kusimama akaja trafiki nikwamwelezea akanambia karipoti central, nikachoma mafuta mpaka central lol, nilichoambulia ni kuzungushwa eti niende kushtaki wizarani jamani, mwingine akanambia rudi huko huko tabata eneo la tukio, mwisho wa siku hakuna kilichofanyika, wao ndo wa kwanza kusema eti tutii sheria bila shuruti kweli, kwa mfao huu nani atatii sheria kama wao ndo wakwanza kuvunja sheria? kwakuwa mimi ni mtu mdogo baba yangu mkulima tu niamua kuacha tu.

Pole sana kwa mkasa uliokukuta mkuu.
Lakini unajua matumizi ya hilo neno kwenye red? maana yake ni Laughing Out Loudly(lol).
 
Pole andugu. hao jamaa ndo walivyo, hawazingatii kabisa sheria za barabarani; wanapaki hovyo hata pahali ambapo haparuhusiwi kisheria, wanapita barabara ambazo hazitakiwi kupita, kumbuka mmoja alibamizwa kwenye mti akiwa kwenye lori la jeshi kule town na mambo mengine mengi tu. NINI MAANA YA SHERIA?
 
PT moja ilinigonga nikala nao sahani moja wakanilipa!may be ulikuwa na makosa...ungemkomalia aliekugonga.fuatilia hilo gari kituo linapopaki report hapohapo
 
yaani nimefuatilia hadi nimechoka siku nzima ikapotea bila kufanya kazi, traffic aliona na akasema wao ndo wenye makosa mana mi nilikuwa nimesimama nasubiri niingie barabarani yeye akanifuata.

Back
Top Bottom