Hiko ndio kitu wanachokuja kufanya Wachina Tanzania

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa
Serikali za Africa hazina hata mpango
Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu.
Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania
Africans tutabaki kuwa consumers. So painful that serikali zetu hazitaki kuinvest kwenye viwanda
 
Bora wachina waje kujenga Watanzania wapate ajira maana government imeshindwa kusaidia watu wake kumiliki hivi vitu
Your browser is not able to display this video.
 
Daaah na huu ndio ukweli wenyewe.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Huku kazi siasa, wanasiasa wanapewa kipaumbele hasa hawa Gen Z , wameingia kwenye mtego wa siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…