Kaache mdomo kwani hajui kazi ya polisi au anajitoa ufahamu.
Kikubwa lissu ashinde tu
Juma Lokole umeanza kiherehere chako.Mngefanyia Mkutano wenu Mikocheni au Ufipa kama hamtaki Ulinzi
Kuna masilahi mapana ya CCM hapo.
Kamanda amesema humo ukumbini mmechanganyika Wezi na Watu wema ndio sababu Ulinzi umeimarishwa hiyo ni business center 🐼Juma Lokole umeanza kiherehere chako.
Hiyo ni sababu ya pili,ya kwanza ni kulinda maslahi ya CCMKamanda amesema humo ukumbini mmechanganyika Wezi na Watu wema ndio sababu Ulinzi umeimarishwa hiyo ni business center 🐼
Hovyo kabisa, hawataki kulindwa wakati hao mavijana wao wana mihemkoWakuu,
Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?
"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini?
"Wakati hawa Polisi Serikali huwa wanawatuma kuja kutupiga mabomu na virungu kwenye maandamano na mikutano?"
Pia soma: Pre GE2025 - CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa