Pre GE2025 Hilda ahoji mapenzi ya Polisi kwa CHADEMA yanatoka wapi wakati wakiwa kwenye mikutano yao au maandamano huwapiga virungu?

Pre GE2025 Hilda ahoji mapenzi ya Polisi kwa CHADEMA yanatoka wapi wakati wakiwa kwenye mikutano yao au maandamano huwapiga virungu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?

IMG_20250121_141401_534.jpg

"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini?

Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

"Wakati hawa Polisi Serikali huwa wanawatuma kuja kutupiga mabomu na virungu kwenye maandamano na mikutano?"

1737452116323.png

Pia soma: Pre GE2025 - CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa
 
Wana uhakika mbowe wa maridhiano atashinda uchaguzi
 
Naona sasa akili zimewahama. Kuwepo kwa polisi ni kuhakikisha kuwa hakuna mtu atadhurika ( wanaohudhuria kikao, mashabiki na wapita njia)au mali kuharibiwa wakati wa uchaguzi. Na yote haya yamechangiwa na matamko na lugha mbaya ambazo mashabiki wa wagombea uchaguzi wamekuwa wakitupiana.

Wao walitegemea nini wakati wanawajaza watu upepo kuwa kura zitaibiwa? Ovyo kabisa.

Amandla...
 
Ni kufuata mdundo wa bosi tu hata saivi akisema mkusanyiko huo ni haramu mabomu yanarindima.
 
Kamanda amesema humo ukumbini mmechanganyika Wezi na Watu wema ndio sababu Ulinzi umeimarishwa hiyo ni business center 🐼
Hiyo ni sababu ya pili,ya kwanza ni kulinda maslahi ya CCM
 
Attachments

  • IMG_5035.jpeg
    IMG_5035.jpeg
    84.4 KB · Views: 3
Wakuu,

Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?

"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini?

"Wakati hawa Polisi Serikali huwa wanawatuma kuja kutupiga mabomu na virungu kwenye maandamano na mikutano?"

Pia soma: Pre GE2025 - CHADEMA wakataa ulinzi wa Polisi, wasema hawataki kulindwa
Hovyo kabisa, hawataki kulindwa wakati hao mavijana wao wana mihemko
 
Back
Top Bottom